Bila kujadili juu ya muungano,maandalizi ya katiba mpya hayatakuwa yamekidhi haja...

Planner

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
348
148
Wadau,nayaandika haya baada ya kufuatilia mtiririko wa maneno na matukio ya hapa na pale yanayojiri huko nyumbani hasa juu ya hatma ya muungano wa Tanganyika na zanzibar.kwa mtazamo wangu itakuwa ni jambo la busara kama suala hili litapewa nafasi ya kutosha kujadiliwa;hasa kipindi hiki ambacho tuaingia katika maandalizi ya katiba mpyakwa mapana ikiwa ni pamoja na aidha kuuboresha itakapobidi au vinginevyo kwa kuzingatia hali halisi ili uendane na muda manake nionavyo mimi viongozi wetu hasa wa bara hawataki kuuzungumzia,yaani umekuwa kama kaa la moto;ingawa kiuhalisia hili jambo lina fukuto kubwa....wadau mnasemaje juu ya kuujadili muungano wetu kwa mapana na marefu?
 
Back
Top Bottom