Dr. Slaa anafanya kazi kupitiliza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa anafanya kazi kupitiliza!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seif al Islam, Jun 1, 2012.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  kwa kipindi nilichomfahamu dr slaa kama mbunge na baadae mgombea uraisi nikiri kuwa mwonekano wake umebadilika sana.dr.slaa amepungua sana yaani amekonda mno isipokuwa ubongo wake ndio haujakonda kwani bado akisimama jukwaani anatema cheche kama kawaida.

  Mambo mengi yanaweza kuwa yamechangia mfano umri lakini nionavyo mimi cdm wanamtumia sana huyu mzee wa watu kwa kiwango ambacho nahisi hakizingatii wala kutambua hitaji la mzee huyu kupumzika na kujenga afya yake.dr slaa yupo kila mahali kwa kila kitu.iwe mkutano iwe oparesheni iwe kupokea wanachama na hata mikutano ya waandishi wa habari.anazunguka mikoani kwenye mikutano isiyokwisha.anashiriki mikutano ya ndani na kufungua matawi.ndiyo nakubali huyo ni katibu mkuu lakini kiukweli nahisi dr slaa anachoshwa na kuzeeshwa zaidi na shughuli hizo.

  cdm wanapaswa kuinua na kuwafunda makada vijana waende huko mkioani kukomaa na ccm ana wapambe wao na sio kumwacha dr.slaa akihangaika kama hakuna vijana.ni muda wa heche na viongozi wenzie wa bavicha kuacha malumbano ya kwenye magazeti na kujikita katika ujenzi wa chama mikoani.kazi hizo wapewe kina lema ,lissu mbowe zitto nassari na wengine ambao bado ni vijana wadogo.

  kama kweli cdm mnamuhuitaji slaa katika mipango yenu ya baadaye,huu ni muda wa kutafakari namna ya kuutumia uwezo na kipaji alichopewa na mungu .

  Nawasilisha.
   
 2. m

  massai JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  good idea,tufanye harambee ule mkono ukatibiwe nje kwenye madaktari wenye vifaa vya kisasa na mabingwa.
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mkuu umetoa hoja nzuri lakini Dr slaa kazi anayoifanya ni wito na kajitoa toka moyoni sema kikubwa CDM inatakiwa wahakikishe usalama wake unalindwa pia na maswala ya ballance diet wamtazamie, but slaa ni kiungo muhimu sana ndani ya CDM na Mungu atamlinda tu.
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mwache afanye kazi, hajitolei, kaajiriwa.
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Usiwe na wasiwasi anakula kwa kipimo yule si kama hao MAFISADI wengine wanaotafuna kila kinachopita mbele yao. Ulivyosema ni sahihi kabisa; ni bora Dr Slaa akili yake iendelee kutema cheche zaidi na zaidi kuliko tumbo la Mhe yule muimba kwaya kuchukua nafasi zaidi kama kibadala vile.
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tanzania tumezoea kuona vitambi na sasa tunaanza kuamini kama hauna muonekano wa ki-John Komba basi wewe si mzima! Tatizo la unene ni kubwa sana hasa kwa viongozi wetu. Angalia vigogo wa polisi, wanahema kwa tabu tupu na siku zote naamini, if you cannot control how much goes into your stomach then you cannot control a lot of things. Just think about it.
   
 7. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ushauri mzuri sana but hilo ni jembe halijakuwa kimayai!
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  I concur with you sir
   
 9. a

  afwe JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Your observations and suggestions are relevant katika mtazamo kuwa huyu bwana tunamhitaji sana. Ni vema chama kitazame namna nzuri ya kumtumia bila kuathiri shughuli za chama lakini pia afya yake. Ni kweli amededicate maisha yake kwa ajili ya nchi yetu lakini ni vema tukamtumia vizuri
   
 10. a

  afwe JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Dr Slaa hayupo CHADEMA kwa ajili ya malipo. Kuwa makini na comments zako
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa mawazo yako Rais wa Rwanda Paul Kagame naye wanyarwanda watampoteza? Tuache mawazo mgando kwamba kitambi eti ni afya,huo ni ugonjwa tu.
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  /madam
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  anastahiki kupewa likizo. He is busier than a bee
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  sio kama kazeeka? Umri unamtupa mkono?
   
 15. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na hatari yake ni Asali anayotaarisha/Tengeneza Watafaidi wengine!
   
 16. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Yule habadilishi damu
  kama wenu! Yuko full.
   
 17. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  madam?! Kuwa mstaarabu basi kwani kumuita mwanaume mwenzako madam inakuwa sio picha nzuri. Shtuka na badilika ww
   
 18. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  ya mahatma gadhi naona mmeyasahau.
   
 19. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Una uhakika? Alipoombwa kugombea Urais alitoa masharti gani?
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mie nadhani Slaa afanyi kazi kupitiliza kama anavyosema muanzisha hii thread, wengine wanasema kaamua kujitolea...Slaa anafanya kazi analipwa Milioni 7.5 kwa mwezi muacheni afanye kazi.
   
Loading...