MwanaCHADEMA timiza wajibu kwa kuwaamsha waliolala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MwanaCHADEMA timiza wajibu kwa kuwaamsha waliolala

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, Jun 3, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila m2 sasa ahakikishe anawasiliana na wazee,ndg na jamaa sehemu mbalimbali na hasa VIJIJINI ili nao waamke wajue UBAYA wa CCM hatimaye watafute CHAMA kingine na si CCM.Anzeni sasa mtaona jinsi kazi ilivyo rahisi kuikomboa nchi yetu.
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wala hata hahiitaji kumwambia mtu ccm yenyewe inawaonyesha kwa vitendo kwa ugumu wa maisha ulivyo sasa nadhani hakuna mtu ambae hajuti iwe aliyeipigia ccm kura na zaidi wale ambao hawakupiga kabisa kura, 2015 hakuna mtu atakaye kumbushwa kwenda kupiga kura kila mmoja atatoka mwenyewe kwenda kumkataa nduli ccm
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Umesomeka Comrade tutafanya kama ulivyo agiza
   
Loading...