Sikumwelewa Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikumwelewa Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Expedito Mduda, Jun 3, 2012.

 1. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jana mh. Jakaya Kikwete aliongea na wananchi wake kama ilivyo kawaida yake ya kila mwezi. Aliongelea mambo mengi ingawa mimi hata jambo moja sikuona linamgusa mwananchi wa kijijini. Sikuona kama anajikita kujibu malalamiko mengi hasa ya ugumu wa maisha unaowakabili wananchi wengi wa kijijini na mijini. Sikuona anaongelea mikakati anayoiweka kupunguza malalamiko ya walimu vijijini. Sikuona anatoa jibu kuhusu tatizo la majambazi ambalo limeenea karibu nchi zima. Sikuona ana dalili ya kuguswa na mabadiliko ya hali ya hewa inayosababisa hata mito muhimu Ruaha kukauka. Sikuona anatoa majibu kukanusha au kukubali kuwa chama chake kinahusika na mauaji ya wafuasi wa chama cha Demokrasia na maendeleo. Sikuona anawahakikishia Watanzania kwamba lile lililotokea Zanzibar halitatokea tena. Sikuona kama amewakumbuka wananchi wake kwa ujumla. JAMANI MIMI SIKUONA.
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bogas presnt
   
 3. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,431
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Huyo baba mwanaasha bado yu hai?
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Muwalaumu na wasaidizi pamoja na washauri wake pia.
   
 5. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu, pamoja na kuwa huru sana, pamoja na uhuru wa kutoa maoni, Tuwe na angalau staha kidogo. tutumie maneno yenye upole kidogo!!!!!!!
  MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kaambiwa aseme hayo na mganga wake na walinzi wake wa ikulu waloachwa shehe yahaya
   
 7. s

  slufay JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wewe umetumia dessa toka kindergatern hadi leo kamwombe dessa usome vizuri, halafu utafnyia mtihani, aliongea kiswahili fasaha, kilimo kwanza haigusi wananchi wa kawaida, uamsho, please be fair, otherwise ur crazy. BRAVO KIKWETE BABA WA DEMOKRASIA TANZANIA;;;;; HISTORY CAN JUDGE YOU FOREVER AND EVER..... ( R.I.P ------- POOR COMMENT JAMVINI)
   
Loading...