Viongozi acheni tabia hii
Na Happiness Katabazi
BABA wa taifa aliwahi kusema ukweli una tabia moja nzuri sana kwani auchagui rafiki wala adui.
Na kwa mara nyingine leo nalazimika kutumia nukuu...
Kwa kweli polisi wa ZANZIBAR walikuwa wanatafuta sababu ya kusuguwana na UAMSHO.
Sababu uamsho waliambiwa wasiende lumumba kufanya mkutano ili uamsho wakaidi agizo hili halafu waseme hawa UAMSHO...
Nimeona picha ambayo January Makamba (MB,Bumbuli) alisambaza katika mitandao ya kijamii kama facebook page yake ikiwa na kichwa cha habari; "weekend work at Bumbuli Development Corporation in Dar"...
Wakuu mpaka leo sijaona chama ambacho kimetoa watu wenye msimamo na umoja kama CHADEMA, kuna vyama vipo tena vingi ila havisikiki, hata hakukwepo viongozi mmoja mmoja wa vyama vingine ambao...
GAVANA wa Benki Kuu (BoT), Profesa Benno Ndullu amekana matumizi ya kifisadi ya Sh. 760 bilioni kwa mwaka mmoja katika safari za ndani na nje ya nchi.Taarifa zilizopatikana BoT, Hazina na ofisi...
ki.
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI...
Mkuu wangu Tumaini Makene (Afisa Habari wa CHADEMA) na John Mnyika (Mkurugenzi wa Habari na uenezi) pamoja na makanda wengine ndani ya CDM mimi ni miongoni mwa wadau tuliohudhuria ule mkutano wetu...
Najua ataendelea kulalamika mpka mwezi wa 10.
sasa why not have a single thread ili tuendelea kupata burudani za malalamiko yake huyu jamaa?
mimi naenjoy sana kusoma malalamiko yake kila...
Maoni ya Katuni
Mazingira ya kisiasa na uwezekano wa uendelezaji wa shughuli za maendeleo au uwekezaji umeingia mashakani katika maeneo kadhaa nchini, kutokana na jazba zinazoongezeka, na kuwa...
Mwenyekiti wa jukwa la katiba Deo Kibamba amesikitishwa na hali ya demokrasia kuvurugika ndani ya CCM kutokana na malumbano ambayo yameshika kasi kwenye majukwa ya kisiasa kuliko ndani ya vikao...
leo raha tupu zenji,...polisi lainiiii...wametubania viwanja vya LUMUMBA wamebanua viwanja vya MALINDI,how nice wazanzibr
heko muamsho,mpk waitoe nchi ye2 wala ngurue ao
Rais Kikwete katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, katika kuongelea tukio la machafuko huko Zanzibar, licha ya kusikitikia uchomwaji makanisa na kwamba wanauamsho wanafanya kinyume cha malengo ya...
Haki imekuwa ikiiuzwa ikinunuliwa. Mahakama zetu zimekuwa sehemu ya hujuma bila woga ukandamizaji na udhalilishaji. haya yanatokea na wanayoyafanya haya ni wasomi na watu wanaoheshimika sana ndani...
Wakubwa!...,Huyu ndio waziri wangu wa sheria na katiba.Aliweza kupambana kwenye kesi yake dhid ya kupinga matokeo ya ubunge wake akiwa mwenyewe,huku akipangua kundi la mashaidi wa kununuliali.kazi...
Hivi,; ni mkataba upi ulimpa sultani wa z'bar maili 6 kutoka mstari wa pwani? Na je; huo mpaka ndio tunaouzingatia au nivipi. Hebu nijuzeni kidogo nielewe T'nyika na Z'bar inapoishia kimipaka!
MWAKA 2012 - ARUSHA TUTAENDELEA KUWA MAJASIRI WAKUPINGA UKANDAMIZAJI POPOTE TANZANIA . GODBLESS LEMA (MB)
Ninapotafakari Wema wa Mungu katika maisha yangu na Jimbo langu , ndipo ninapopatwa...
Heshima Kwanza!
Kupevuka kisiasa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kutafiti, kudadisi, kuhoji, kufuatilia na kushiriki kikamilifu katika maswala yote yanayohusu maisha ya kila siku. Siasa haiwahusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.