Utulivu Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utulivu Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Emashilla, Jun 3, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JE! GODBLESS LEMA NDIYE CHANZO KINACHOITWA KUKOSEKANA KWA UTULIVU JIJINI ARUSHA?
  Mimi sielewi ni kitu gani kinachofanya watu kufikiri kuwa aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini ndiye chanzo cha kukosekana utulivu hapa Arusha.

  Mimi naona Arusha watu wake wamechoka kutawaliwa kwa ahadi na sera na ilani zisizotekelezeka.

  Arusha ni mji wa amani na utulivu ila CCM wakubali kuwa walishalipoteza jimbo hili kwa miaka mingi ijayao.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwa Usemi wa JK kwamba sasa Arusha haina fujo ni dhahiri kabisa yeye JK ndiye aliyeshinikiza LEMA atolewe Arusha. ss tunamuhakikishi kwamba ccm haitatawala Arusha milele na milele amina!!
   
 3. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tuko tayari kufa tukiitetea arusha dhidi ya dhulma na ufisadi toka kwa Jk na familia yake! Hata liwekwe jiwe dhidi ya mgombea wa ccm, jiwe litashinda! Kikwete na familia yako mmeifisadi nchi!
   
 4. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK Kasema viongozi wa kitaifa na kimataifa wataendelea kuja Arusha baada ya utulivu kurejea tena. Nadhani alikuwa anamkejeli Godless Lema kwa kuondolewa kwake kwenye ubunge wa Arusha Mjini. Lakini jambo la kuelewa ni watu wa Arusha sio wakorofi au watu wa fujo kama wanavyotafsiri. Iko haja ya viongozi kufahamu kuwa Arusha ni zaidi ya Lema. Haki itasimama na wananchi wataendelea kupinga uonevu na mbinu zote za kufifisha CHADEMA mjini Arusha na Tanzania yote
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Arusha na watu wake ni watu wa Amani na watulivu na always wapo busy kusaka riziki!

  Nenda soko kuu, nenda kilombero, nenda mbauda na maeneo mengi tu! wanachokataa wakazi wa Arusha ni dhuluma ,uonevu na kuvuliwa utu wao, Siasa za ukondoo zilizopo kwenye maeneo mengi ya nchi yetu hazikubaliki Arusha ndio maana watawala wanawatumia nguvu!

  Jiulize itakuwaje utakapotaka kumbadili simba awe kondoo umfuge?

  Kila siku mtakwaruzana ndio case ya Arusha!!
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ukitaka uonekane mbaya dai haki yako au ya wanachi wanao kuzunguka.....

  Kwa kauli ya Kiwete jana ni dhahili kabisa Ikulu ilihusika kwenye hukumu ya Lema lakini aelewe CCM Arusha haikuwahi kushinda tangu mwaka 1995 ila wananchi wa Arusha walikuwa hawajui kulinda kura zao sasa namwambia Kikwete ukitokea uchaguzi wowote Arusha alite majeshi yote na vifaru vyote tutalinda kura zetu.....
   
 7. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Siyo tu kwamba JK ametuthibitishia kuwa ni yeye alimshinikiza yule jaji kutoa hukumu ile, bali pia katuthibitishia kuwa kichwa chake kweli ni nazi!!!

  Kwa mtu makini, na hasa Rais, hakutakiwa kutoa kauli ile hadharani kwa sababu anajua fika kuwa yeye anatuhumiwa kumshinikiza yule jaji.

  Na pia hakutakiwa kutoa kauli ile huku akijua kuwa hukumu imekatiwa rufaa!! Je kwa kutoa kauli hii hamshinikizi jaji atakayesikiliza rufaa??

  Shame on JK!!!
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Naomba Kikwte aitishe mkutano NMC atuambie huo ujinga....
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Uzuri wananchi wameanza kuijua CCM ndiyo maana tuna wasubiri kwa lolote wa kitenda haki tutashukuru kwa sababu watapunguza garama za kampeni lakini wakipindisha tukaenda kwenye game basi kura 10,000 wakizipata nitashangaa sana......maana kwa jinsi ilivyo Arusha kwasasa chadema wakiweka kambi sijui hizo kampeni zitakuwaje.......
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu soma PM yako
   
 11. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nikweli kuwa hali ya hapa Arusha ccm inachukiwa sijui kama nini yaani akitokea hata mtu atakaye kisifia chama cha magamba wanachi watam'bishania mpaka aondoke mwenyewe .
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekusoama kamanda....
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana kamanda
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu tangu vyama vingi viingie CCM haikuwahi kushinda Arusha mjini... Mwaka 1995 Makongolo Nyerere aliwagalagaza vibaya wakakata rufaa na kumnunua makongolo, chaguzi zingine wamekuwa wakifanya uchakachuaji mwaka juzi walitaka kuchakachua watu wa Arusha wa kahamia ofisi za manispaa kuhakikisha hachakachuliwi mtu mpaka kikaeleweka hivyo elimu aliyo itoa Lema kipindi cha kampeni mwaka 2010 kupiga kura na kulinda kura kama barcelona pamoja na ujasiri Arusha hakika uchaguzi hata ukirudiwa kesho CCM wasahau jimbo la Arusha....
   
Loading...