Vurugu zilizotokea Zenji ni mbinu ya kulichafua kundi la uamsho na hoja ya muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu zilizotokea Zenji ni mbinu ya kulichafua kundi la uamsho na hoja ya muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chaimaharage, Jun 3, 2012.

 1. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa ambazo hazija thibitika kuwa vurugu zilizo tokea kule Zanzibar ziliandaliwa maksudi na wanao taka hoja ya muungano isijadiliwe wala kushika kasi kama ilivyo sasa.Kwa hiyo wana jamvi kuweni makini sana mnapo jadili jambo hili manake ni mtego umeandaliwa kupotezea hoja ya muungano.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Una uhakika na unalolisema au una hangover za week end???
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ndiyo hivyo! vijogoo wa dunia kama US, UK na washirika wao hawataki kuona Zanzibar ikiangukia mikononi mwa waraabu! Na kama unakumbuka siku ile IGP na Dr Nchimbi walitia timu na mabalozi au wawakilishi wao kutoka nchi tajwa. Kwa upande mwingine, wanangangari wanaona ndiyo dawa pekee itakayowafanya watawale huko, vinginevyo hawana chao 2015.
   
Loading...