Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,567
Wanabodi,
JF ni zaidi ya chombo cha habari. Ni kawaida kwa zile hotuba za JK mwisho wa mwezi kushushwa humu!. Kwa mwisho wa mwezi uliopita jana tulitangaziwa hakutakuwepo hotuba ya mwisho wa mwezi kufuatia JK kuhusika mkutano wa AFDB na badala yake hotuba hiyo ingetolewa leo mwanzo wa mwezi!. Mbona mpaka saa hizi JF kimya kuhusu hotuba hiyo?!.
Jee hotuba hiyo leo ilikuwepo?!.
JK amezungumzia nini?.