Nape: Ccm bila rushwa itapata kura ngapi?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
Siku za karibuni nimekusikia ukihamasisha watanzania wasichague viongozi kwa kupewa vijisenti.

Rushwa kwa CCM ni sawa na cancer ya damu.

Hakuna kiongozi hata mmoja wa CCM anayeweza kujigamba kwamba hajatumia Takrima hadi kupata madaraka aliyonayo kama ni ya kuchagulliwa.

SWALI: Bila rushwa CCM si itakufa kabisa? itapata kura ngapi?
 
Siku za karibuni nimekusikia ukihamasisha watanzania wasichague viongozi kwa kupewa vijisenti. Rushwa kwa CCM ni sawa na cancer ya damu. Hakuna kiongozi hata mmoja wa CCM anayeweza kujigamba kwamba hajatumia Takrima hadi kupata madaraka aliyonayo kama ni ya kuchagulliwa. SWALI: Bila rushwa CCM si itakufa kabisa? itapata kura ngapi?

Bila rushwa nadhani hata mgombea hajipigii kura mwenyewe
 
Back
Top Bottom