Wazanzibari Wanaonekana ni Wazalendo, Lakini...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari Wanaonekana ni Wazalendo, Lakini...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LordJustice1, Jun 2, 2012.

 1. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wazanzibari kwa harakaharaka wanaonekana ni Wazalendo sana kwa "nchi" yao, kumbe kinachosumbua hapa si uzalendo bali ni chuki (za udini), ubaguzi (wa kidini) na unafiki! Muungano ukivunjika (Mungu apishilie mbali) ndio mashabiki ya kuuvunja Muungano mtajua kilichokuwa chini ya zulia!
   
 2. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 3. m

  mzaire JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upotoshaji tuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! huna jipya.

  Wazenji wanataka chao wacha kupotosha, inaonekana udini umekuathiri sana.
   
 4. P

  Ponera JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona nyerere alitimua waingereza, acheni wazanzibar watutimue wakae kwa amani kwenye nchi yao,
   
 5. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wanachokifanya hao wa znz ni ubaguzi wa kidini,kama ni jambo la kitaifa kwa nini iwe kikundi kiwe cha dini moja na movement zianzie msikitini.
  jana kiongozi wa uamsho anasema watafanya sala kuwaombea WAISLAM waliopata matatizo ya vurugu zilizotokea.Hajasema sala kwa ajili ya waznz waliopata matatizo,BALI WAISLAM,na waislam wanajumuisha wabara na waznz.KWA HIYO HAPO AJENDA KUU NI DINI.sio muungano
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kumbe hata mimi nikidai Tanganyika yangu nitaonekana si mzalendo!
   
 7. k

  kicha JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 180
  we mshkaji sijui au mzee una chuki na wazenji isiyosemeka, na unatumia kofia ya udini kutoa kila sumu ulonayo tukujue kama wewe ukristo unakuuma[ni haki yako], ila punguza kaka, nimekuona si chini thread tano wewe ni udini na wazenji mpaka nliwahi kukuelimisha ukaniona mbaya au sikupendi. juzi uliweka uzi hapa kila mtu alikuponda,
  mtazamo wangu kwa mara nyengine ni kua, wengi humu jamvini tunasukumwa na ukweli na ushahidi bila ya kumkweza yeyote, hakuna wa kukupiga wala kukusukuma humu jaribu kua na mawazo yasioegemea popote hata kama ukweli unauma. hapa chuki na mapenzi yako kwa jambo fulani sio mahali pake.
  ubarikiwe na nakupenda kama mtz mwenzangu.
   
 8. F

  Falconer JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Jee tukisema CDM ni chama cha kanisa na kina ajenda za kanisakatoliki itakuwa ni makosa?. Huwezi kuwashambulia wazanzibari kuwa ni wadini wakatiunajua hakika kuwa hii kadi ya udini ndio kadi kubwa inayotumiwa na CCM na CDM katika kudhoofisha upinzani Tz. CUF ilikuwa inaitwa alqaida wakati mmoja kwa kuwa viongozi wake walikuwa waislamu. Sisi hatuja laumu CCM au CDM kama ni vyama vya kanisa. Hao uamsho ni waznzibari wazalendo walijumuisha CDM,CCM, na CUF na vyama vyengine. Wao wanzungumzia Uzanzibari wao.Wanataka REFERNDUM kuhusu Muujngano. Kuna kosa gani kudai referendum kuhusu muungano?.Sisi hatuna haja ya mchakato wa katiba sabau Zanzibar tuna katiba yetu. Nyinyi Tanganyika hamuna katiba munatumia katiba ya Tanzania ambayo sisi waznzibari hatuitambui. Sasa amkeni watanganyika. CAN'T YOU SMELL THE COFFFEE?. Hapa kuna mchezo wa kiini macho na sisi tumeutambua na nyinyi ndugu zetu wacheni jazba amkeni muone watawala wenu wanavo fanya.Hivi nyinyi munaambiwa "mchakato wa katiba" wala hamujui maana yake?.
  Mumelala usingizi kwa kudumzwa na siasa za ujamaa mukifikiria munapendwa sana na watawala wakati wao wanaaangali nafsi zao na jamaa zao.
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Udini umeniathiri mimi au umewaathiri Wazanzibari?
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hiyo Referendum ina uhusiano gani na Makanisa? Kama sisi tunatumia Katiba ya Tanzania wewe kinakuuma nini?
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni kweli nimeandika Post kadhaa kuhusu matukio yaliyotokea huko Zanzibar. Watu wengi pia wameandika masuala kadhaa, marais wetu (Zanzibar na Muungano) wamesema, IGP na Waziri wa Ulinzi wamesema, Mh Tyson amesema, Masheikh wamesema, Maaskofu wamesema, waandishi wa habari wamesema, nk! Sasa mimi nako nikisema kuna ubaya gani? Au unataka niseme unayotaka wewe? Au pia, upendo unaodai unao kwangu ni kuona kuwa mimi nimekaa kimya?
   
 12. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Inategemea unadaije. Kama unadai kwa kuiba mali kwenye maduka ya watu na kuyachoma moto, pia kama unachoma makanisa au misikiti, wewe utadai kwamba eti una "uzalendo?"
   
 13. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwani tulikuwa na Muungano na Waingereza na kuunda nchi moja?
   
 14. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  umewaathiri nyote
   
 15. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
 16. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wote kivipi mkubwa?
   
 17. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Acha hizo huwezi kuzungumza z'bar bila kutaja uislamu wazanzibar sio kama wamewachukua watanganyika au wakiristo ila wanachotaka utaifa wao ingawa wakiristo wana lengo maalum la kusambaza makanisa znz huo ni ukweli hata wakibisha watu walilala zamani sasa wamesha amka hata mkuu atoe vitisho gani hawatorudi nyuma ni bora vita inayodai haki kuliko amani iliyojaa dhuluma
   
 18. l

  lum JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  sina lengo la kuwakataza wakristo wasilalamikie kuchomwa makanisa lakini wanachotakiwa kujua ni kwamba wazanzibar hawana chuki na makanisa kufikia kuyachoma ,UAMSHO washasema wanafanya utafiti na wameaza kupata majina ya walopanga na kuchoma makanisa,,,,wito wangu kwa serekali watakapo pewa ushahidi wasije sita kuwachukulia hatua wahusika hatutaki kusingiziwa wala kuharibiwa movement yetu na wasioipenda zanzibar..UKWELI WA JAMBO HILI UTAJULIKANA MDA SI MREFU ''kwani mwisho wa ubaya aibu''
  JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR INARUDI TENA NA HAKUNA WA KUIZUIYA KINYUME NA MUNGU na hilo ndio lengo kuu la mapinduzi ya 1964 sio kuwa koloni la tanganyika..

  ''huwezi kutenganisha uislamu na siasa kwa sababu siasa ni sehemu ya maisha'' na UISLAMU NI MFUMO WA MAISHA KWETU
   
Loading...