Wana JF
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya vurugu za hivi karibuni za wana-uamsho huko zenji, nikakumbuka post moja humu jamvini yenye kichwa JK mtandao huu ni hatari be careful waweza kuwa...
Mh: Nape Nnauye ameunguruma leo jioni hapa mkoani Njombe katika mkutano wake wa hadhara uliohudhuriwa na ma-mia kwa maelfu ya wananchi na kuzungumzia juu ya masuala ya uundaji wa tume mbalimbali...
Na Mashaka Mgeta
6th June 2012
John Mnyika
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, hana mamlaka ya kimaadili...
Jambo la kushangaza Mkuu Mpya wa Wilaya wa Simanjiro mkoani Manyara Bw Peter Toima ambaye aliteuliwa hizi karibuni akitokea Wilaya wa Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro amehamishwa wilaya hiyo na...
IKULU ILIINGILIA KESI YA UCHAGUZI. – GODBLESS LEMA.
"Ndugu Wananchi;
Napenda kutumia nafasi hii kutoa pongezi na shukrani nyingi kwa ndugu zetu wa Arusha kwa kuwapokea vizuri na...
WAKULIMA wadogo wa Kijiji cha Kisaki wilayani Morogoro wameyataja matrekta madogo aina ya Power tiller walioyanunua kwa kilimo kuwa mkombozi kwa wagonjwa hususani wajawazito baada...
Waandishi Wetu
KAMATI ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imembana Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ikimtaka aeleze ni kwa nini vitabu vya bajeti ya...
JANA WARAKA ULIOANDALIWA KUMJIBU LEMA ULIKATALIWA NA MKUU WA KAYA BAADA YA KUTUMIWA NA KUJIBU KUTOKA KWA SIMU YAKE NENO MOJA TUU "hapana"
SASA HIVI WAKUU WA KUJIBU WANAHANGAIKA BAADA YA KUPOKEA...
Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu wa kambi ya upinzani Bungeni Tundu Lissu
Wednesday, 06 June 2012 10:23
KUTOKANA na vurugu zilizotokea Zanzibar Mei 26 mwaka...
Source uhuru
Katibu mwenezi wa CCM amewashukia CDM na kudai wameingia mkenge kwa kauli mbiu ya "Vua Gamba vaa Gwanda" ni kauli mbiu ya CCM na si ya CHADEMA.
Amedai kuwa wanavamia kauli mbiu ya...
Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali...
Mwandishi Wetu
KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imeipitisha bajeti ya Wizara ya Miundombinu, ambayo ni Sh1,023,033,626,000.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Peter Serukamba, alisema kipaumbele cha...
JUNE 5, 2012NAIBU SPIKA WA BUNGE WA ZAMANI AFARIKI DUNIA
ALIYEKUWA MBUNGE WA LUDEWA, MZEE MATHIAS KIHAULE AMEFARIKI JANA SAA TISA NA NUSU ALASIRI, KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, AMBAKO...
Leo katika pitapita zangu katika maeneo ya soko kuu jijini arusha niliona sii mbaya nikienda kupata taarifa mbili tatu katika kijiwe kimoja cha wazee pale soko kuu.
Wazee wale walikua...
HAKUNA jambo baya katika maisha ya binadamu kama ugonjwa; hakuna anayependa kuugua.
Aidha, kila anayeugua anapenda apate tiba ya maradhi yake. Tena anataka tiba hiyo ipatikane kwa haraka na...
WATANZANIA walio wengi, na hasa waliopo nje ya mfumo wa utawala wa CCM, wanaelekea kuwa na mwafaka kwamba mambo hayaendi ilivyo katika nchi yetu kwa sasa. Kwamba tulipo sipo tulipopaswa kuwa...
Dalili ya mvua ni mawingu wahenga walisema. Katika bunge la bajeti la mwaka jana lilishuhudia kutimia usemi usemao "za mwizi ni arobaini" baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya Nishati na...
Mchungaji Christopher Mtikila mwenyekiti wa DP nimekukumbuka mzazi wangu.
Nimekukumbuka kwa suala moja tu, nalo Ni UTANGANYIKA. Nakukumbuka sana na gari Lako lile ukipeperusha Bendera ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.