Nape: Chadema wameingia Mkenge, kauli ya Vua Gamba vaa Gwanda ni ya CCM na CDM wanadanganya umma

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source uhuru

Katibu mwenezi wa CCM amewashukia CDM na kudai wameingia mkenge kwa kauli mbiu ya "Vua Gamba vaa Gwanda" ni kauli mbiu ya CCM na si ya CHADEMA.

Amedai kuwa wanavamia kauli mbiu ya CCM na kuifanya yao na kuwa mabingwa wa kuiga.

Kauli mbiu hiyo ilikuwa na dhamira ya kukisafisha chama cha Mapinduzi kwa kuwavua magamba viongozi wake si kama inavyotumika na CDM.

My concern

Sasa CCM itadai kila kitu ni chake nadhani ni kuishiwa cha kufanya
 
Katibu mwenezi wa CCM amewashukia CDM na kudai eameingia mkenge kwa kauli mbiu ya "Vua Gamba vaa Gwanda" ni kauli mbiu ya CCM na si ya CHADEMA.

Amedai kuwa wanavamia kauli mbiu ya CCM na kuifanya yaona kuwa mabingwa wa kuiga.

Kauli mbiu hiyo ilikuwa na dhamira ya kukisafisha chama cha Mapinduzi kwa kuwavua magamba viongozi wake si kama inavyotumika na CDM.

My concern

Sasa CCM itadai kila kitu ni chake nadhani ni kuishiwa cha kufanya
Napa bana acha kutapatapa,nijuavyo mimi yakwenu inasema hivi "Vua gamba,vua gwanda,vaa uzalendo"
 
jamani mtapata stress bure Nape anachokifanya ndio ameajiriwa kukifanya Katibu mwenezi unafikiri anaeneza nini ka sio uzandiki, fitna, uzushi na uwongo ili kuweka image ya waliomuweka juu, huku akikiharibu CHAMA kwa kutumika kwa faida ya kundi Fulani. Katibu mwenezi gani sio mbunifu, Hana mpango wowote wa kukihuisha CHAMA zaidi ya majungu na chuki binafsi dhidi ya viongozi Fulani ndani ya CHAMA! Sasa badala ya kufanya kazi unalilia slogan una akili kweli wewe?...... Wewe kiue CHAMA umalize uende zako CCJ tunaokipenda tutakifufua tena... Asante Nape kwa kukiua CHAMA chetu na sera yako uliyoshindwa kuiimplement ya MAGAMBA coz gamba namba moja ni wewe, toka tuache na CCM yetu
 
Kweli mfamaji haachi kutapatapa, wanaanza kung'ang'ania kauli haya ichukuen tuone kama watanzania watawaelewa
 
na ile ya vua gamba,vua gwanda vaa uzalendo ameiacha wapi tena au imeonekana haijawashika wananchi...............
 
Nape achana na siasa za kujishusha hadhi unao wasemea hawana shukurani.Bado wewe ni kijana unaowatete ndio watakaokupoteza kwenye madali ya siasa
 
Source uhuru

Katibu mwenezi wa CCM amewashukia CDM na kudai wameingia mkenge kwa kauli mbiu ya "Vua Gamba vaa Gwanda" ni kauli mbiu ya CCM na si ya CHADEMA.

Amedai kuwa wanavamia kauli mbiu ya CCM na kuifanya yao na kuwa mabingwa wa kuiga.

Kauli mbiu hiyo ilikuwa na dhamira ya kukisafisha chama cha Mapinduzi kwa kuwavua magamba viongozi wake si kama inavyotumika na CDM.

My concern

Sasa CCM itadai kila kitu ni chake nadhani ni kuishiwa cha kufanya
Hivi huyu nepi ni lazima aongee kila siku?
 
kwa hiyo nape anaidai chadema wanachama wake waliomkimbia?????????
 
Huyu jamaa sometimes kama toto dogo vile ambalo hudhani kila kitu ni chake...only a fool can make such a claim..period!!!
 
CCM hamuhitaji kauli mbiu tunahitaji vitendo kwani vyombo vyote vya dola viko mikononi mwenu.Askari haitaji kauli mbiu ili amkamate mwizi!Kauli mbiu mnazo nyingi utekelezaji hamna usanii mtupu.MUNGU IBARIKITANZANIA.
 
Source uhuru

Katibu mwenezi wa CCM amewashukia CDM na kudai wameingia mkenge kwa kauli mbiu ya "Vua Gamba vaa Gwanda" ni kauli mbiu ya CCM na si ya CHADEMA.

Amedai kuwa wanavamia kauli mbiu ya CCM na kuifanya yao na kuwa mabingwa wa kuiga.

Kauli mbiu hiyo ilikuwa na dhamira ya kukisafisha chama cha Mapinduzi kwa kuwavua magamba viongozi wake si kama inavyotumika na CDM.

My concern

Sasa CCM itadai kila kitu ni chake nadhani ni kuishiwa cha kufanya

Nape kweli kama shibuda!! "Peoples power" ya CCM; "Vua Gamba Vaa Gwanda" ya CCM!! But so what?! kama CCM wana hati miliki ya kauli mbiu hizo basi waache kulalama waende kortini, otherwise for CDM ni mwendo mdundo na matokeo wanayaona, CCM inachechemea.
Nape stop behaving like a cry baby!
 
Back
Top Bottom