Naibu spika wa bunge wa zamani afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu spika wa bunge wa zamani afariki dunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nsaji Mpoki, Jun 6, 2012.

 1. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [h=2]JUNE 5, 2012[/h][h=3]NAIBU SPIKA WA BUNGE WA ZAMANI AFARIKI DUNIA[/h]

  [h=2][​IMG][/h][h=2]ALIYEKUWA MBUNGE WA LUDEWA, MZEE MATHIAS KIHAULE AMEFARIKI JANA SAA TISA NA NUSU ALASIRI, KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, AMBAKO ALIKUWA AMELAZWA KUTOKANA NA MARADHI YA UGONJWA WA MOYO. MZEE KIHAULE ALIKUWA NI MBUNGE WA LUDEWA TOKA MWAKA 1980 - 1985, 1985 - 1990, NA 1990 - 1995.


  MZEE KIHAULE AMBAYE ALIYEWAHI KUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ALIWAHI PIA KUWA MKUU WA WILAYA YA MBARALI.


  KABLA YA MAUTI, MZEE KIHAULE ALIKUWA MWENYEKITI WA BODI YA SHULE YA SEKONDARI YA LUGARAWA, AMBAKO PIA ALIKUWA AKIJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZA KILIMO. MWILI WA MAREHEMU UTASAFIRISHWA KESHO KWENDA KIJIJINI KWAKE LUGARAWA, LUDEWAHABARI NA
  [/h]


   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  R. I. P Mkuu! Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Amen!
   
 3. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  R.I.P mhe.
   
 4. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mungu aipumzishe roho yako mahala ulipopachagua ukiwa duniani.Amen
   
Loading...