Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 1982 Nakumbuka nikiwa mdogo Baba aliumwa tukampeleka kituo cha afya Bunazi akalazwa lakini asubuhi madakitari wakasema huyu ni wakupelekwa Hosptali ya Mkoa ikachukuliwa Ambulance na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wote ni mashahidi wa jinsi viongozi wetu wanavyotumia double standards na ‘kids gloves' katika kushughulikia mambo mengi yanayoihusu Zanzibar. Iko mifano mingi, lakini kwa hivi...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Wana jf binafsi namu admire sana JJ MNYIKA ktk field ya siasa kutokana na umahiri wake katika kuchambua hoja! Je,ww mwana jf ni mwanasiasa gani ambaye ni role model wako?
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Je fikra zile zile zilizokifikisha CCM kwenye asilimia 61 zilizotangazwa na TUME (toka 81% za 2005) bado zinaweza kukiwezesha kushinda mwaka 2015? CCM kinahitaji fikra mbadala ili kiishi au fikra...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa sasa hivi viongozi wa CCM na Nape wanajaribu kuandaa mikutano kujibu hoja za chama makini CHADEMA,hapa tunapashwa kujiuliza kwa CCM mikutano na maandama hayo ya nini?! CHADEMA kinaanda...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
:sick: Natabiri kuwa CUF haina uhai Bara endapo Muungano utakufa!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
NA SHARON SAUWA 5th June 2012 Wasira naye awashukia WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Steven Wasira Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imewaonya baadhi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana katika viwanja vya Madeko Ndanda, Lema alimwaga sumu ya M4C,magamba si chini ya 25 walirudisha kadi miongoni mwao akiwamo kigogo mmoja wa hospitali ya misheni ya Ndanda na kuchukua kadi ya...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Tanzania hii inashangaza sana. Yaani duniani ni ya 16 kwa kuzalisha dhahabu na africa ni ya 4 lakini ni ya 3 duniani na ya 1 Africa kwa kuombaomba. Hii inanishangaza sana. Kuna mwenye sababu...
7 Reactions
47 Replies
8K Views
Afrika imeshuhudia maajabu. Waliokuwa marais wa Nchi mbili tofauti Bw HOSNI MUBARA wa Misri na Bw CHARLES TAYLOR wa Liberia kutumikia vifungo vya maisha kwa makosa ya mauaji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Kamati ya Nishati na madini imekataa taarifa ya wizara ya Nishati na madini juu ya ulipaji wa fedha ya udanganyifu iliyofanywa na kampuni ya PAN Afriacan eti lilipwe baadae na kidogo kidogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania katika bajeti hii ya 15 trillion, lazima ichunguzwe vizuri, the only way to recover from the hyper inflation, na to avoid kuwa kama nchi ya Ugiriki iliyofilisika, ni kupunguza matumizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha chadema ni chama kinachokubalika sana mbele ya watanzania, nitashangaa kama kutakuwa na kijana wa leo ambaye atakuwa anakishabikia chama fulan hivi kinachotawala sasa hivi hapa tanzania...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana niliishiwa nguvu kidogo baada ya kugundua kuwa bajeti iliyopita ya wizara ya uchukuzi utekelezaji wake haufiki ata 50% kwa mujibu wa kamati ya bunge. Sasa najiuliza fedha ambazo zilizotengwa...
0 Reactions
4 Replies
996 Views
Wanabodi katika hali ya kuendeleza siasa za maji taka kama siyo kutapata kwa ccm katika kampeni za jimbo la arumeru mashariki ccm wagawa nakala za gazeti la SAUTI HURU ambalo linatoka kwa wiki...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
BY DEVOTA MWACHANG`A 5th June 2012 Renatus Muabhi The Central Committee of Chama Cha Kijamii (CCK) has removed Renatus Muabhi from his post as secretary general due to several reasons...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi mara zote nasema Lema ni mpiganaji wa kweli...mpaka mkuu wa kaya anamgwaya pamoja na maneno makali alyopewa,,ni chungu lakini amemeza...hakuna ikulu,wala polisi aliyetia neno... Kweli wewe...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
NA MUHIBU SAID 5th June 2012 Naibu Spika wa Bunge wa zamani, Mathias Michael Kihaule, amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa. Kwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifatilia kwa makini mienendo na harakati za Dr slaa toka baada ya uchaguzi wa 2010 mpaka leo ktk M4C inayoendelea huko kusini, Ukweli Dr slaa ameonekana akiwa mwiba sana kwa CCM na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom