Morogoro watumia powertiller kusafirisha wagonjwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Morogoro watumia powertiller kusafirisha wagonjwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tara, Jun 6, 2012.

 1. t

  tara Senior Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WAKULIMA wadogo wa Kijiji cha Kisaki wilayani Morogoro wameyataja matrekta madogo aina ya ‘Power tiller’ walioyanunua kwa kilimo kuwa mkombozi kwa wagonjwa hususani wajawazito baada kubadilishwa kuwa magari ya kuwabeba badala ya kazi ya kilimo.

  Sorce:mwananchi.

  Hii ndo tunaita maisha bora kwa wote......kwa ile ile kasi mpya zaidi,nguvu mpya zaidi na ari mpya zaidi.
   
 2. S

  Shembago JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukombozi u karibu,shida ya kukumbatia magamba ndiyo hiyo,rasilimali kibao Nchi hoi.Tafakari Chukua hatua 2015
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kwani hawakupata mgao wa bajaji za Kikwete!?
   
Loading...