Chadema Inatisha kusini, Ndio Ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Inatisha kusini, Ndio Ukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jun 5, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Niliona umati wa Chadema kusini hapa ITV nimeamini 2015 nchi imekwenda. kama hata kusini wameamka, ccm itamdanganya nani tena sijui
   
 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hata mimi nimeshangaa ndio harakati kamili zakuchukua nchi hii,

  peoples
   
 3. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "hakuna kulala, hadi kieleweke!!!!!"
   
 4. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sure mkuu, mi mwenyewe live nimejionea nyomi ya kusin ilivyokuwa, 2015 patachimbika!
   
 5. S

  Stany JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Niliona! Du cdm nomaa akina Adc,cuf waendelee na majungu tu.
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na huku nako labda ni kaskazini,si unajua magamba walivyoishiwa...................
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wote wamejiandikisha? watajitokeza siku ya kupiga kura?
   
 8. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hiyo ndo elimu pekee iliyobaki kwa chadema kuitoa kwa wananchi, wakifanikisha hilo ccm kwisha kazi.
   
 9. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ngoja utamsikia nape atasema hizo picha ni za siku nyingi, waandishi wa habari wengine hawafuati maadili ya fani yao, we vuta subira tu mtamsikia
   
 10. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  T 2015 CDM at its escape velocity!
   
 11. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Jamani vp?. Mi na nape 2navyojua chadema ni chama cha kaskazin, sasa huku kusini wamefikaje?. Km ni hivyo kweli cdm wanatisha.
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tumechoka 2015 mbali,unaweza kuamini just last month may CHIZI wa atcl na wenzake wamekwapua $1m kwa supplier fake?
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Watazirudisha mkuu, kama hawataweza, basi tunapiga bei hadi vibanda vyao!
   
 14. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii kauli ndo huwa inatumika kuhalalisha wizi wa Kura unaofanywa na Magamba, sasa kama wale wote hawajajiandikisha hao waliojiandikisha wako wapi???? Na wakati wa hiyo mikutano ya CHADEMA wanakuwa wapi???

  Tusikubali kupumbazwa tena na hizi kauli NJAA na MUFILISI, 2015 lazima kieleweke
   
 15. r

  ralphjn Senior Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtu anayetaka mali zote zilizowahi kuibwa na Magamba zirejeshwe na magamba hayo yafungwe jela,lazima atakuwa anashahuku 2015 iwahi ili CDM watake over majambazi haya yapigwe mvua za kueleweka na mali zetu zote(nyumba za serikali,migodi,mabenki,mashamba,vitalu,Twiga,na Cash Money ) viweze kurejeshwa.

  INAKERA SANA.
   
Loading...