Ushauri: Zanzibar igeuzwe mkoa wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Zanzibar igeuzwe mkoa wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OLEWAO, Jun 6, 2012.

 1. O

  OLEWAO Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wana JF

  Baada ya kutafakari kwa kina juu ya vurugu za hivi karibuni za wana-uamsho huko zenji, nikakumbuka post moja humu jamvini yenye kichwa JK mtandao huu ni hatari be careful waweza kuwa historia. Katika post hii alitajwa Rostam Aziz kuwa ndiye kinara wa mpango huo akifadhiliwa na Marekani kwa ajili ya kuratibu mpango mmojawapo kati ya kumg'oa JK madarakani kwani anaonekana hataweza kuivusha CCM wakati wa uchaguzi 2015 au kuitoa zanzibar kwenye muungano lengo ni kuhakikisha wamerekani wanachimba mafuta zenji. Hofu ya wamerekani ni kuwa CCM bara inaelekea kumfia JK hivyo wapinzani wakichukua nchi 2015 hawataweza kuchimba mafuta zenji hivyo mpango wa kumg'oa JK kabla ya 2015 ukishindikana ufanyike mpango wa kuitoa zenji kwenye muungano. Wengine waliotajwa katika mpango huo ni Rais Dr. Ali M. Shein, Rais mstaafu Abeid A.Karume, makamu wa pili wa Zenji Maalim Seif Sharif Hamad, Jusa Ladhu na wengine wengi ambao ni suporters wadogo.

  Ushauri:

  Kwa kuwa tuna wanajeshi wengi huku bara ambao ni wakakamavu na shupavu sana na wenye historia nzuri ya kazi nzuri waliyowafanyia waganda kwa kumfurumusha nduli Idd Amini Dada na washirika wake ikiwemo Libya chini ya utawala wa marehemu kanali Muamar Ghadafi;
  Nashauri wapelekwe zenji wanajeshi wa kutosha na JK atangaze kuwa kuanzia wakati huo zenji ni mkoa na Shein ndiye mkuu wa mkoa. Vinginevyo tukiwaacha wajitenge tutapata taabu na gharama kubwa ya kwenda kulinda amani kwani kama alivyowahi kuwaonya Baba wa Taifa kuwa wakimaliza kuwabagua wabara na wakajitenga watajikuta kuwa kumbe wao si wamoja kwani kuna wapemba na waunguja na hapo wataanza kutwangana wao kwa wao.

  Wana JF mnasemaje?
   
 2. t

  tara Senior Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Igeuzwe mara ngapi.........sema bado kualalishwa tu.
   
 3. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nakuunga mkono na miguu kwa 100%. Kuwaachia wazenji kujitoa na kujitawala ni sawa na kumuachia chizi SMG.
   
 4. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Subiri wakujie na SMG za mdomoni.
   
 5. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa tu, au majimbo tanzania yote, na zanzibar liwe moja
   
 6. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hiyo ni hatari zaidi ya uamsho a.k.a bhokoharam!!!!!
   
Loading...