Nape aunguruma Njombe.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape aunguruma Njombe....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shagiguku, Jun 5, 2012.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mh: Nape Nnauye ameunguruma leo jioni hapa mkoani Njombe katika mkutano wake wa hadhara uliohudhuriwa na ma-mia kwa maelfu ya wananchi na kuzungumzia juu ya masuala ya uundaji wa tume mbalimbali katika nchi yetu ambazo zimeleta tija kwa maendeleo ya taifa.

  Katika mkutano huo mh: Nnauye amewakemea watu wanaobeza jitihada za serikali katika kushughulikia mambo mbalimbali ambayo ni kero kwa wananchi.  Hii ni taarifa kwa ufupi kwa wale ambao hawakuwepo ktk mkutano huo.
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kiongozi mzuri ni yule anaeshawishi siyo kukemea. Nnauye Jr alipaswa awashawishi kwa hoja watu wanaobeza jitihada za serikali katika kushughulikia Mafisadi, Ugumu wa maisha na upatikanaji wa huduma za kijamii.

  TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),

  tumbiri@jamiiforums.com
   
 3. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape atachoka tu'
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Hawa ndio mamia kwa maelfu? Hesabu tena.
   
 5. H

  Honey K JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii sio picha ya Njombe, acha kuwadanganya watu. Mtapata tabu sana kudanganya watu kwani UONGO HAUDUMU!!


   
 6. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Weka basi hiyo picha ya njombe unayodai ya ukweli tuone hao "mamia kwa maelfu"

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 7. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa mahudhurio hayo... CCM kwisha kazi!!!! ha ha ha ha!!! Labda mtafute mganga mwingine awasaidie kwa ramli! Sheikh Yahya alikuwa anawafaa sana lakini sasa naona ameamua kuondoka na ninyi!!
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,886
  Trophy Points: 280
  Uongo hujibiwa kwa ukweli, hebu weka iyo picha ya njombe tuone nani mkweli, otherwise we call it the last kick of the dying donkey.
  Upo bwana Nnauye Jr??
   
 9. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ama kweli Nape na CCM ni kama kupe:
  Ng'ombe anachinjwa kupe hana habari!
  Ng'ombe anachunwa kupe hana habari!
  Ngozi inawambwa kupe hana habari!
  Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka!
  Alaa! Huyu ngo'mbe kumbe keshachinjwa!
   
 10. J

  Johnbosco Mligo Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe uliyeanzisha thread hii, yafaa sana uweke ukweli wa mambo kama ulivyo!

  kama watu mliowakodi kwa kuwapa pesa za mafuta ya pikipiki na magari ili waongeze uwingi wa watu, walifikia maelfu, basi haujakosea sana!
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  tuwekee picha za ukweli acha kulalamika. sisi tunaamin kile tunacho kiona.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mbuzi hawezi unguruma!!!
   
 13. J

  Joblube JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hata kwenye blog ya Mjengwa kaweka picha hii sasa nani muongo na yeye ni CCM
   
 14. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hahahaaa, mkuu weka picha basi za ukweli na uweke data walioletwa kwa fuso from Uwemba, Iwungilo, Lugenge, Matola, Boimanda, Kifanya, Lupembe na Wangama. Maana alipokuja JK wenu mliniboa kweli, nusura nikose hela kwani fuso zote za kubebea viazi mmepakia watu. Nonsense!
   
 15. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  jipangeni
   
 16. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mbwa mwitu abweka mjini
   
 17. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri ukweli sasa (kama upo)!
   
 18. w

  wikolo JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu, kwa kazi yako ya uenezi ulitakiwa wewe ndo utuletee hii habari pamoja na hizo picha unazodai ni halisi. Unapoanza na wewe kulalamika kwa mtindo huu inakuwa inapoteza maana kabisa. Ni ushauri tu lakini.
   
 19. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Na hii je?

  [​IMG]
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Mikutano yako ni na wazee tu? ANYWAY UTAPATA THAWABU KWA KUWAPA BRAND NEW T-SHIRTS!

  [​IMG]
   
Loading...