Waraka wa Lema kwa rais wasambazwa Arusha mjini

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,057
309
Leo katika pitapita zangu katika maeneo ya soko kuu jijini arusha niliona sii mbaya nikienda kupata taarifa mbili tatu katika kijiwe kimoja cha wazee pale soko kuu.

Wazee wale walikua wanzungumzia hotuba ya rais..muda si muda ilitokea gari aina ya noah ikapaki pale akashuka Godbless Lema na karatasi kadhaa zilizoandikwa huo waraka wake ndipo akaanza kuugawa kwa wa2 waliokuwepo pale zilipo isha copy zikatolewa na kuanza kujadili nao kuhusu waraka huo.

Pia Lema aliuza baadhi ya cd za nyimbo za chadema na operesheni za m4c na kwawale wasio na uwezo walichukua bure. Hakika hamasa ya wa2 ilkua kubwa sana pale. Hakika ccm wasahau kabisa jimbo la Arusha mjini.

pipiooooz....powerrrrr..!!!!
 
ccm arusha ilizikwa makaburi ya ngarasero.jeneza lilojaa bendera za ccm lilikokotwa na punda kihongwe!
 
Leo katika pitapita zangu katika maeneo ya soko kuu jijini arusha niliona sii mbaya nikienda kupata taarifa mbili tatu katika kijiwe kimoja cha wazee pale soko kuu.Wazee wale walikua wanzungumzia hotuba ya rais..muda si muda ilitokea gari aina ya noah ikapaki pale akashuka godbless lema na karatasi kadhaa zilizoandikwa huo waraka wake ndipo akaanza kuugawa kwa wa2 waliokuwepo pale zilipo isha copy zikatolewa na kuanza kujadili nao kuhusu waraka huo.pia lema aliuza baadhi ya cd za nyimbo za chadema na operesheni za m4c na kwawale wasio na uwezo walichukua bure.Hakika hamasa ya wa2 ilkua kubwa sana pale.hakika ccm wasahau kabisa jimbo la arusha mjini.
pipiooooz....powerrrrr..!!!!
Mkuu inawezekana ukawa na nianjema lakini usipotoshe umma Lema uko kusini kwenye M4C hayuko Arusha na kwenye zile CD lema kama lema hauzi bali kuna watu wali record na wana uza kweli pale stand ndogo ya hiace na soko kuu huuzwa sana...kuhusiana na waraka wa Lema kusambazwa nani watu wameamua kuwasambazia wakazi wa arusha baada ya kuguswa na ujumbe uliotolewa na Lema...
 
dadadadadeki nilikua maeneo hayo nafikiri nilipishana na kamanda anyway CCM ARUSHA WASAHAU KAMA KUNA HILI JIMBO TANZANIA
 
Mkuu inawezekana ukawa na nianjema lakini usipotoshe umma Lema uko kusini kwenye M4C hayuko Arusha na kwenye zile CD lema kama lema hauzi bali kuna watu wali record na wana uza kweli pale stand ndogo ya hiace na soko kuu huuzwa sana...kuhusiana na waraka wa Lema kusambazwa nani watu wameamua kuwasambazia wakazi wa arusha baada ya kuguswa na ujumbe uliotolewa na Lema...

Mkuu hata mimi nilishangaa sana kumuona Lema pale wakati najua yupo Mtwara..lakini yawezekana alitumia usafiri wa ndege..hata hivo hakukaa sana alionekana kua na haraka sana.

Kuhusu CD hizo nikweli zinauzwa maeneo uliyo yataja lakini pia lema alikuja nazo pale na hata hivo zilizochukuliwa bure ni nyingi zaidi ya zile zilizouzwa kwahyo nia ya Lema haikua biashara..
 
Mkuu Lema jioni hii amehutubia kusini
 
Nadhan hiyo post kuhus lema kuhutubia mkutano huko kusini(ndanda masasi) ndio inawachanganya..kwenye hyo post ukisoma vizur imeandikwa kua alihutubia jana..najui nivigumu kuamini lakini nilimshuudia na wala sio habari ya kuadisiwa.
 
Mkuu inawezekana ukawa na nianjema lakini usipotoshe umma Lema uko kusini kwenye M4C hayuko Arusha na kwenye zile CD lema kama lema hauzi bali kuna watu wali record na wana uza kweli pale stand ndogo ya hiace na soko kuu huuzwa sana...kuhusiana na waraka wa Lema kusambazwa nani watu wameamua kuwasambazia wakazi wa arusha baada ya kuguswa na ujumbe uliotolewa na Lema...
hata mie nashangaaa Lema jana mnamo majira ya tisa kama na robo alikuwa anatoka kewnye mkutano mji mdogo wa Ndanda kwa ajili ya kurudi Masai mjini kuungana na Kamanda wa kikosi cha anga Mbowe, na DR slaa,kama kasafiri kwa ndege,ni Mtwara mjini ambako ni km 260 toka mtwara mjini,na ndege pale hutoka saa 3 asubuhi?aliwezaje kuwepo Arusha,kuwa makini kwa taarifa zako ,huyo jamaa asipotoshe umma.
 
Leo katika pitapita zangu katika maeneo ya soko kuu jijini arusha niliona sii mbaya nikienda kupata taarifa mbili tatu katika kijiwe kimoja cha wazee pale soko kuu.

Wazee wale walikua wanzungumzia hotuba ya rais..muda si muda ilitokea gari aina ya noah ikapaki pale akashuka Godbless Lema na karatasi kadhaa zilizoandikwa huo waraka wake ndipo akaanza kuugawa kwa wa2 waliokuwepo pale zilipo isha copy zikatolewa na kuanza kujadili nao kuhusu waraka huo.

Pia Lema aliuza baadhi ya cd za nyimbo za chadema na operesheni za m4c na kwawale wasio na uwezo walichukua bure. Hakika hamasa ya wa2 ilkua kubwa sana pale. Hakika ccm wasahau kabisa jimbo la Arusha mjini.

pipiooooz....powerrrrr..!!!!

Muongo na mnafiki wewe. Kamanda Lema yuko kusini. Acha kudanganya watu
 
Sasa wakuu jibu ni yupo a town au kusini?mimi namkubali sana lema,pia taarifa za mikutano ya huko kusini hatuzipati sawasawa na mashabulizi yanayofanywa.
 
Aibuu kusutwa tena mwanaume dahh haya yamekukuta uongo usirudie.Au ulifikiri upo FB pole ni upepo tu unapita.
 
Mkuu hata mimi nilishangaa sana kumuona Lema pale wakati najua yupo Mtwara..lakini yawezekana alitumia usafiri wa ndege..hata hivo hakukaa sana alionekana kua na haraka sana.

Kuhusu CD hizo nikweli zinauzwa maeneo uliyo yataja lakini pia lema alikuja nazo pale na hata hivo zilizochukuliwa bure ni nyingi zaidi ya zile zilizouzwa kwahyo nia ya Lema haikua biashara..

Lema hayupo Arusha, nimeongea sasahivi na kamanda. Labda umeona copy. Original anatua Arusha kesho.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom