Mazingaobwe ya MKuu wa Wilaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazingaobwe ya MKuu wa Wilaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masanilo, Jun 6, 2012.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Jambo la kushangaza Mkuu Mpya wa Wilaya wa Simanjiro mkoani Manyara Bw Peter Toima ambaye aliteuliwa hizi karibuni akitokea Wilaya wa Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro amehamishwa wilaya hiyo na Kupelekwa Kigoma. Binafasi hiki cheo naona kabisa hakina tija kwa taifa zaidi ya kutafuna kodi za wananchi, zamani cheo hiki enzi za ukoloni kiliitwa Makamishina wa sheria, na kazi yao ilikuwa ni kusimamia ukusanyaji wa kodi. Hivi sasa kimegeuzwa cheo cha kirafiki, makapi na mashudu ya kisaisa na mahawara wa viongozi wakubwa. Kama taifa ifikie wakati wakuu wa wilaya ni useless kifutwe kwenye katiba mpya

  Mch Mstaafu Masa K
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,094
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  sasa hayo mazingaombwe mbona sijayaona au nna chongo kama gurumo!?:closed_2:
   
 3. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,876
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Uko sahihi mkuu, inauma sana. Hii nchi utata mtupu. Yaani sijui tufanyaje? Mi nimechoka na hii inchi wazimu. Sijui tume laaniwa na nani?
   
 4. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,876
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Sasa wewe ni bundi utaonaje mchana huu? Subiri usiku na upotelee mbali
   
 5. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 972
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Hicho cheo kitafutwa Rasma 2016.
   
 6. V

  Vunjavunja Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ndo ukweli maana sioni faida ya kuwa wakuu wa wiraya, kazi zao nikusimamia sera za CCM ndo maana Nape alisha waikusema kuwa watende kazi la sivyo hawatawavumilia.
   
 7. V

  Vunjavunja Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ndo ukweli maana sioni faida ya kuwa na wakuu wa wiraya, kazi zao nikusimamia sera za CCM ndo maana Nape alishawai kusema kuwa watende kazi la sivyo hawatawavumilia.
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,586
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...