Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jun 8, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tayari maandalizi yameanza. yataanzia viwanja mbali mbali na kumalizia kidongo Chekundu ambapo viongozi wa kiislam watahutubia kwa kueleza jinsi ya baraza hilo lilivyokuwa kikwazo wa wanafunzi wa kiislam.

  Agenda ni kumlazimisha DK ndalichako kungoka NECTA na kufanyika uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za baraza la mitihani kuwafelisha wanafunzi wa kiislam  Redio imaan inatarajiwa kurusha LIVE

  MY TAKE
  Inawezekana hata huko Zanzibar matokeo ya wanafunzi yamechakachuliwa na NECTA. maana huko 98 ni muslim


  [​IMG]

  Waumini wa dini ya kiislamu wakiandamana kwa Kile walichodai kufelishwa kwa makusudi kwa mitihani yao
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ninachokumbuka ni kuwa wamepewa kibari cha mkutano na si maandamano
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Si walishatangaziwa kuwa ni marufuku kuandamana leo ama hawakusikia??? Wajaribu ku beep polisi waone kama watapigiwa ama watapotezewa....
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Soma mwananchi la jana! usikurupuke kijana!
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  si kawajibu tayari, sasa hau hata kusoma hawajui, magazeti yote serikari imewajibu
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  connect dots, FFU wafanye fujo leo na kesho CCM wafanye mkutano? inawezekana kweli?
   
 7. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata chadema walikataziwa kuandama, wakaandamana, jee nawao hawajui kusoma?
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  maandamano yanaanzia wapi jamani tujimwage?
  leo sijui tuchome nini na ukizingatia mfukoni sina kitu mimi nataka yatakayopita mtaa wa congo karibu na maduka ya wapemba.
   
 9. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nichofahamu baraza la mitihani huenda namba tu..! kwa hiyo kuna namba za kiislam..???
   
 10. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,531
  Likes Received: 10,444
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mtavunja sheria sababu mnajua FFU hawawezi kuwapiga kisa kesho mkutano wa ccm. Mnajidanganya.!
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hawa majamaa cwaelewagi kabisa samtaim. hivi wanataka Joyce aslimu? au?
   
 12. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ni haki yao kuandamana bila fujo, hizo intelejensia za uongo za polisi zisiwazuie waislam kuandamana; Baraza limekosea sana waacheni wamalize hasira zao; waziri amekosea sana kutoa story bila kuajibisha watu, hii ni mtihani kitaifa kosa lililofanyika ni la kijinga mno. Waachwe wamalize dukuduku lao, na ikibidi ndalichako kula kona, how was that stupid mistake possible through your established system? one would be tempted to think otherwise, hasa kama nae hali yake ya kielimu ni mchelemchele.
   
 13. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Of course it is there right kuhoji matokeo ya mitihani yao, LAKINI mitihani ya bible knowledge na islamic knowledge inawasaidia nini katika soko la ajira/ joining universities. nadhani medicine/ engineering/law etc principal ya dini haisaidii kukuchagua kwenda huko, labda kwenye mikopo (division grading) , sijui. If it were me I will never make demonstration for such a thing, only table negotiations could suffice.
   
 14. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usiokijua hutakijua maisha. Hapa mungu ameonyesha tu. Kuna mengi ndani ya necta yamejificha
   
 15. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hongereni wa Tanganyika na waislam kijumla kuiona dhulma hiyo na kuiondosha kwa mikono yenu na sio kusubiri ihsani,

  Mola yupo nanyi.

  Radio imaan ipo kwenye mtandao na tulio nje ya Tz tutawasikia na tupo pamoja nanyi katika kupigania haki zenu hususan katika ilmu.
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  baraza la mitihani linawafelisha waislam??...yaani na wao waislam wanaamini kweli hivyo...
   
 17. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  hakuna ukilaza unaozidi kuingiza swala la taaluma kwenye dini na siasa! wanafunzi vilaza ndio wanaofeli wawe wakristo, waislamu au wapagani!!
   
 18. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  This is the right forum to mention those hayo "mengi ndani ya necta yamejificha"
   
 19. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu sio dola ilinde makanisa na mali za watumishi wa Mungu, kumbuka hoja ya polisi kuzuia maandamano ni kutokana na uchache wao. Hapa ni wakristo kujilinda wao na mali zao yakiwemo makanisa yao. Polisi wao wakae standby kwenda kule zitakapo tokea vurugu. Nafikiri hii ndo njia salama kwa makanisa na mali za Wakristo kwa leo.
   
 20. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kumbe ugomvi ni wa wewe na CHADEMA, sasa kwanini usiwafuate ukakabiliana nao?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...