Kwa hili uvccm watashauri nini nec kuhusu madai ya waislam na mfumo wa necta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili uvccm watashauri nini nec kuhusu madai ya waislam na mfumo wa necta?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jun 9, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya kutokea machafuko huko Zanzibar, UVCCM iliwashukia waislam na kutaka wachukuliwe hatua kali.
  Huku Bara kuna madai ya Vijana wanaosema wameonewa na NECTA. wanaotaka Baraza hilo lifumiliwe ili liundwe tena kwa kuamini halipo sawa. wakurugenzi, katibu mkuu mtendaji na maafisa wengine.
  Haya ni madai mazito ambapo Yanaweza kuleta vurugu kama hayatapatiwa Ufumbuzi na yanaathiri vijana wa kitanzania.
  Hili linawezan kusababisha msuguan.
  Madai yapo mengi kuhusu NECTA.
  kwa kuwa BAVICHA kupitia mwenyekiti wake amesema atalilinda baraza hili na watendaji kwa gharama yoyote ile kwani kwa upande wao wanaona lina manufaa makubwa
  jee UVCCM wanazungumziaje na wataishauri vipi CCM kuhusu swala hili?au wanasubiri vurgu watoe na kushtumu?
   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Vurugu mumfanyie nani?
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  hawana haja ya kutoa kauli yoyote ile kwani si kiti kizito sana
  hili jambo ni rahisi sana. kama suala ni mtihani mmoja na wa mwaka mmoja haiwezi kuchukuliwa kama advantage ya kudai wanaonewa kila siku inabidi ushahidi wa mitihani ya kila mwaka utolewe ili kuonesha baraza halitendi haki

  mbona wapo wengi tu walio appeal na bado matokeo yao yakaja tofauti?? kwani nao walidai baraza lifumuliwe??

  uvccm kama wakitumia hekima na sio busara watakaa kimya
   
 4. a

  andrews JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [h=2][​IMG] ccm kuanzisha al shabab mikoa ya pwani[/h]
  KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA WA TAIFA NI MISLAM SASA VP LEOBAKWATA WASEME WANA FELISHWA HIZI NI MBINU CHAFU ZA CCM KUWATOA WANANCHI KWENYE WIMBI LA MAGEUZI YA KISIASA NA KUIINGIZA UDINI KWENYE JAMII NI HATARI NA NI LAANA KWA HAWA WANAMTANDAO HUU TUNASEMA ILI TANZANIA IWE NA AMANI 2015 CCM LAZIMA IONDOKE ISITULETEE MAAFA.WAMEANZA UAMSHO NA HAKUNA KARIPIO KALI LILILOTOLEWA KUONESHA CCM INAVYOHUSIKA VILIVYO KABLA YA UCHAGUZI 2015 WASHINDWE WALEGEE NA WASAMBARATIKE.MUNGU IBARIKI TANZANIA:confused2:​
   
Loading...