'TUTASUSIA Mkutano-CCM''

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
Taarifa zilizofika dawatini sasa, baadhi ya viongozi Wa Mashina wa CCM,wametishia kususia mkutano wa kesho viwanja vya Jangwani ndani ya Jiji la DSM.

Viongozi Hao ambao wanalalamika kwamba pesa iliyotolewa Kwenye Kampeni inayojulikana Kama 'Jaza uwanja' Kwa ajili ya kufanya hamasisho imechakachuliwa..

Viongozi Hao ambao waziwazi wanasema bila pesa hafanywi Mjinga Mtu hapa, wanadai fedha za Usafiri wamepewa vijana wahuni ambao wametafuta mafuso mabovu.. Wazee Hao wanasema hapandi fuso Mtu hiyo kesho waletewe mabasi laini..

Bila Aibu wanasema wangekabidhiwa wao bahasha hizo wangewahamasisha raia wao waende hata pasipo usafiri, Lakini Kwa kuwa madiwani wameingilia zoezi hilo Basi wakajipange wao huko jangwani Kesho..

Wamemwambia Mwenyekiti wa CCM DSM, kwamba hawataki kuasi vuguvugu alilolianzisha mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa Chama Peter Kisumo, Lakini pia hawataki kufanywa wapuuzi, pesa wale wengine kazi wafanye wao..

Amavipi ingejulikana wazi kwamba Chama hakijatoa fungu lolote, Na tufanye Kwa moyo Kwa Ujenzi wa Chama Basi wangekuwa radhi kukitumikia Chama Kwa atayeweza.. Lakini Kwa tabia hii ya Kula wale wengine Na kubebeshwa Chama tubebe sisi, hakuna bogaz kwenye kizazi hiki wameng'aka wazee hawa.

Wazee hawa wamedai barua Kali walizosambaziwa zinazowashurutisha wao kwamba kiongozi ambaye hataleta watu kwenye mkutano wa kesho atajadiliwa vikali.. Tishio Hilo wamesema hawaliogopi..

My Take..!
CCM wakijitahidi wakaweka mziki Wa nguvu Na kukodi taarabu za kutosha plus TOT, maeneo ya jangwani bado yana wakazi wabishi ambao hawajang'oka kuhamia Mabwepande, watakuja kusikiliza midundiko.. Ila hotuba zikianza hapo uwanja utakuwa mweupe..
 
Salmaaaaaaa!!
Me love ya kwa mahabari matamu matamu na ya moto!!!
 
Si nape ni mtaalam wa kuwashawishi watoto,
apite mitaani kuwashawishi ili wakajaze uwanja.
 
Hii habari nimeipenda!ila roho yangu inasita kuiamini,haya tusubiri hiyo kesho,ningefurahi kama watagomea kweli.
 
Ni kweli mkuu kwasababu nimepitia garage kurekebisha mkweche wangu naona mafundi hata hawaniangalii wapo busy wanatengeneza mafuso kwaajili ya kesho wanasema Mikutano ya ccm huwa wanaingiza hela nyingi sana kwenye mafuso
 
Kama mafuso mabovu ndiyo yatakayotumika,Sasa ina maana tumuandae Kamanda mpinga namna yakuyaongoza na Moi jinsi yakudili nawatakaovunjika na Majeraha?
 
This is too low for CCM kufanya siasa na slogan za kuiga.
Waangalie namna ya kutimiza ahadi zao, hiyo ndo mikutano tunayoitaka toka ccm badala ya kuiga cdm wanaotafuta kushika dola. Hapo mnatufanya tuamini kuwa cdm ndo wanaendesha nchi kwa remote control nyie mnaelekezwa kama robots.
 
magamba wanahaha,dah!.....wakati ndio sasa,wawalipe mapema alafu hakuna kutokea!....nani akaaibike,maana tuhuma hazijibiki watu sasa hatudanganyiki
 
Katika hali ya umahututi wa nyinyiem, ingekuwa busara kama wangejiepusha na "mikutano" ya aina hiii.
 
Aibu yao ccm, mpaka leo ccm wanafikiri wataendelea kuwadanganya watanzania? Je, watajibu ni juu ya mfumko wa bei? Ufisadi wa epa, chenji ya rada n.k?
 
hao viongozi wa mashina wa ccm mnasubiri nin huko ingali uhuni, ufisadi, na ujanja ujanja mnauona wazi wazi..........
CCM siyo mama yenu. AMKA

Taarifa zilizofika dawatini sasa, baadhi ya viongozi Wa Mashina wa CCM,wametishia kususia mkutano wa kesho viwanja vya Jangwani ndani ya Jiji la DSM.

Viongozi Hao ambao wanalalamika kwamba pesa iliyotolewa Kwenye Kampeni inayojulikana Kama 'Jaza uwanja' Kwa ajili ya kufanya hamasisho imechakachuliwa..

Viongozi Hao ambao waziwazi wanasema bila pesa hafanywi Mjinga Mtu hapa, wanadai fedha za Usafiri wamepewa vijana wahuni ambao wametafuta mafuso mabovu.. Wazee Hao wanasema hapandi fuso Mtu hiyo kesho waletewe mabasi laini..

Bila Aibu wanasema wangekabidhiwa wao bahasha hizo wangewahamasisha raia wao waende hata pasipo usafiri, Lakini Kwa kuwa madiwani wameingilia zoezi hilo Basi wakajipange wao huko jangwani Kesho..

Wamemwambia Mwenyekiti wa CCM DSM, kwamba hawataki kuasi vuguvugu alilolianzisha mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa Chama Peter Kisumo, Lakini pia hawataki kufanywa wapuuzi, pesa wale wengine kazi wafanye wao..

Amavipi ingejulikana wazi kwamba Chama hakijatoa fungu lolote, Na tufanye Kwa moyo Kwa Ujenzi wa Chama Basi wangekuwa radhi kukitumikia Chama Kwa atayeweza.. Lakini Kwa tabia hii ya Kula wale wengine Na kubebeshwa Chama tubebe sisi, hakuna bogaz kwenye kizazi hiki wameng'aka wazee hawa.

Wazee hawa wamedai barua Kali walizosambaziwa zinazowashurutisha wao kwamba kiongozi ambaye hataleta watu kwenye mkutano wa kesho atajadiliwa vikali.. Tishio Hilo wamesema hawaliogopi..

My Take..!
CCM wakijitahidi wakaweka mziki Wa nguvu Na kukodi taarabu za kutosha plus TOT, maeneo ya jangwani bado yana wakazi wabishi ambao hawajang'oka kuhamia Mabwepande, watakuja kusikiliza midundiko.. Ila hotuba zikianza hapo uwanja utakuwa mweupe..
 
Chekechea ya hapa kwetu kesho wameambiwa waende shule wakati si kawaida siku za jmosi????????? Kweli CCM inaandaa viongozi wajao teh teh te teh
 
Hahahahahahaaaaaaa!!!
Asee!!wewe ni nouma!!!
Please PM me !!!
 
Uongo mtupu huu.

Ungeweka unaouita wewe ni ukweli, ungebahatika kukiita ulichokibeba kichwa .. Hakuna anayelazimisha mdau accoment Kama huna Hoja..

Watu Zomba huku wanalalamika mbaya, kwanini keki isigawanywe Kama maazimio ya Kamati iliyokaa Jumanne?..
Na baada ya Mkutano Wa kesho nimeahidiwa kuletewa orodha ya wadhamini waliochangishwa fedha kuudhamini mkutano Wa Kesho, kiasi gani kimetolewa Na ngapi wametia mifukoni..

Halafu Zomba nakushauri I'd ya Zomba uibadilishe, kikwetu Zomba ni Kama MSUKULE..
 
Back
Top Bottom