Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

May 1, 2012
95
96
Hatimaye M4C - Vua Gamba Vaa Gwanda itatua Dar leo mashabiki na wapenzi wa CDM Vyuo vikuu MLIMANI, ARDHI, IMF, TIA, MWL NYERERE MEMORIAL, TUMAINI, KIU, MUHIMBILI Sote tujivute tuungane pamoja kutengeneza mustakabali wa nchi yetu.

WANANCHI nao sehemu mbalimbali za JIJI la DAR nanyi mjitokeze kwa wingi.

MUNGU IBARIKI CDM MUNGU IBARIKI TZ.

attachment.php
attachment.php

149479_10150933863158620_966435776_n.jpg

attachment.php
 

Attachments

  • watu-jangwani.jpg
    watu-jangwani.jpg
    71.4 KB · Views: 8,544
Wana jf nipo mkoani Arusha na macharii kibao tunasubiria kwa hamu mkutano wa chdm.naomba mlioko huko tanzania mtujuze mkutano unaanza saa ngapi ili tujipange!wkend njema wote
 
tunaendelea kuhesabu dakika tu yan ndioo 11:13 AM............ Nane karibu sana nipo nimekula full gwanda...
 
Ndoto za usiku ni kuhusu huu mkutano, wengie hatutavaa magwanda halisi kwani tumeyava mioyoni mwetu.
 
Dear JF Members,

Whether you in Dar or somewhere else please don't dare to miss the inaugural for M4C and the Katiba Rally. You've options around you to attend physically at Jangwani or participate by watching ITV or listening Clouds FM.

Shout louder your grievances against all laggards of change and development. Write here on this thread your confirmation that e.g. "Salum Abdallah I'm attending/participating/listening"

Those attending in boby and soul, sign-in in the Foursquare social network and opt-in your location when you are around Jangwani to let the world know the masses flocking to support M4C and Katiba Rally.

English Learner am attending!
 
mkutano utaanza saa nane kamili ila ITV wataanza kuurusha saa kumi STAY TUNED wanaweza kuanza mapema
 
sisi tupo pande za Tunduma hatuchezi mbali na ITV,muda ukifika lazima twende sambamba na M4C.!!
 
Kova na jeshi la polisi kwa ujumla wanajidhalilisha sana,kwa kusema hawataweza kulinda watu watakaotembea
kwa miguu kwenda jangwani kwenye mkutano,ikiwa waliweza kuwalinda watu wakati wanaandamana kwenda
Leaders Club wakati wa msiba wa Kanumba,leo nini kumebadilika kwa watu kutembea makundi kuelekea Jangwani?
"Shame on you"!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom