Mkutano wa Jangwani kesho: CCM yawaandaa mamluki kurudisha kadi za CHADEMA

baraka boki

Senior Member
Sep 20, 2010
181
80
Taarifa nilizopata ni kwamba ccm wameandaa watu kwa ajili ya kurudisha kadi za chadema ili ionekane chadema haikubaliki kwa sana

source: mjumbe wa nyumba wa nyumba kumi ambaye ni jirani yangu

Baraka Boki (MEng, MBA from Duke University)
 
Mkuu asante kwa taarifa lakini hiyo Duke ni wapi? Au ulimaanisha DUCE?
 
Haijalishi kama wanajidanganya wenyewe,kwa sababu jamii itawaona hao wanaosema wamerudisha kadi kwenye luninga nakujua wanatafuta kipunga mambo yaishe
 
kaka.asante.kwa taarifa.nitatuma makachero wangu kuhakikisha hilo lina shindikana.nitamfuatilia
 
Mkuu Duke university ipo Durham,North carolina, United states

Poa Mkuu, nilifikiri upo kwenye vyuo vyetu! Nimeamini dunia ni kijiji, kutoka Durham umekuwa wa kwanza kupata taarifa sisi huku kijijini mbado!
Anyway, intelijensia ya CCM imechoka, baada ya muda tutasikia hao walioandaliwa wakitoboa siri za magamba live, watasema nia yao ni pesa za wajinga, zikishaliwa wanarudi nyumbani. Adhabu ya CCM ni kwenye sanduku la kura tu, huko kwingine watahangaika sana.
Mbona Arumeru waligawa zawadi kwa sana na kura zikaenda CDM!
 
Mimi mwenyewe wame niahidi shs 10,000/= halafu watanipatia card walizoprint kariakoo moja nirudishe lakini kwa masharti watanipa malipo ya mwanzo shs 5000/= nikisharudisha watanimalizia hizo nyingine 5000/= lakini nimekataa mpaka wanipe zote kwasababu nimewakumbushia walivyotutelekeza pale kirumba kwenye kuanzimisha ile miaka 48 ya CCM. wakinipa tuu naituma M4C leo leo
 
ukipokea una deposit kwa M4C. safa sana kamanda! shiriki, chukua t-shirt kadekie
 
TANGAZO KWA VYOMBO VYA HABARI.

Chama Cha Mapinduzi Kimeandaa Mkutano Mkubwa wa Hadhara kwa wananchi wote, Siku ya Jumamosi, tarehe 09/06/2012, Katika Viwanja vya Jangwani Kuanzia saa 6 mchana.

Maudhui;
" Kutoa Msimamo Wake Juu ya Masuala Yanayogusa Mustakabali wa Taifa. Hivyo Chama Kitatumia Fursa hiyo Kuelezea Watanzania Juu ya Msimamo Wake Katika Mambo yafuatayo:

1. Hatma ya maisha ya Watanzania
• Ajira
• Miundo mbinu ya Barabara, Reli, Bandari Na Anga.
• Bei za bidhaa mbalimbali.
• Umeme
• Rasilimali za taifa

2. Msimamo wa Chama Cha Mapinduzi kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya.

3. Vurugu za Zanzibar.

Katika Mkutano huo, Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali watakuwepo na kutoa ufafanuzi juu ya masuala hayo yaliyoainishwa kama msimamo wa Chama Cha Mapinduzi.

Chama Cha Mapinduzi, kinawaalika wanachama wake wote, wakereketwa na wananchi kwa ujumla kuhudhuria katika mkutano huo mkubwa. Mkutano utafanyika kwa amani na utulivu na wote mnakaribishwa.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Imetolewa na:

JUMA SIMBA
KATIBU WA SIASA NA UENEZI
MKOA WA DAR ES SALAAM.
07/06/2012.
 
...CCM nacho bana!!!!!!!!!!!

Taarifa nilizopata ni kwamba ccm wameandaa watu kwa ajili ya kurudisha kadi za chadema ili ionekane chadema haikubaliki kwa sana

source: mjumbe wa nyumba wa nyumba kumi ambaye ni jirani yangu

Baraka Boki (MEng, MBA from Duke University)
 
TANGAZO KWA VYOMBO VYA HABARI.

Chama Cha Mapinduzi Kimeandaa Mkutano Mkubwa wa Hadhara kwa wananchi wote, Siku ya Jumamosi, tarehe 09/06/2012, Katika Viwanja vya Jangwani Kuanzia saa 6 mchana.

Maudhui;
" Kutoa Msimamo Wake Juu ya Masuala Yanayogusa Mustakabali wa Taifa. Hivyo Chama Kitatumia Fursa hiyo Kuelezea Watanzania Juu ya Msimamo Wake Katika Mambo yafuatayo:

1. Hatma ya maisha ya Watanzania
• Ajira
• Miundo mbinu ya Barabara, Reli, Bandari Na Anga.
• Bei za bidhaa mbalimbali.
• Umeme
• Rasilimali za taifa

2. Msimamo wa Chama Cha Mapinduzi kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya.

3. Vurugu za Zanzibar.

Katika Mkutano huo, Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali watakuwepo na kutoa ufafanuzi juu ya masuala hayo yaliyoainishwa kama msimamo wa Chama Cha Mapinduzi.

Chama Cha Mapinduzi, kinawaalika wanachama wake wote, wakereketwa na wananchi kwa ujumla kuhudhuria katika mkutano huo mkubwa. Mkutano utafanyika kwa amani na utulivu na wote mnakaribishwa.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Imetolewa na:

JUMA SIMBA
KATIBU WA SIASA NA UENEZI
MKOA WA DAR ES SALAAM.
07/06/2012.

udumu uongo wa ccm udumu
 
Oh! hivi wakirudisha wa chadema ni wa kweli, wakirudisha wa CCM ni uongo! mbona mnatapatapata chadema si msubiri tu muone darisalama jangwani kutakavokuwa hapatoshi! tena sio wahuni kama wale walojaza siku ile ni watu na maana zao!
 
Back
Top Bottom