Ni yupi yupo karibu na wananchi kati ya hawa wawili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni yupi yupo karibu na wananchi kati ya hawa wawili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ALEX PETER, Jun 9, 2012.

 1. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  146408129.jpg 929743331.jpg

  dr slaa akiwa lindi wakati mwenezi wa magamba akiwa songea
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,998
  Likes Received: 3,179
  Trophy Points: 280
  Mkuu unabinua mkia wa bata afu unauliza anaharishia kwa wapi?!
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,853
  Likes Received: 23,469
  Trophy Points: 280
  Magamba bana..... eti yamemwekea kanga kama zulia.

  Hapo ni mlo mmoja tu kwa siku.

  Sijui nani kawaloga hawa watu asee. Mtu anakutukania mama yako, we unampa shkamoo.

  Malabuku!!
   
 4. sk2000

  sk2000 JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 750
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 80
  Yaani magamba wanakanyaga pesa!! kuonyesha ni jinsi gani walivyo mafisadi.. Ina maana hawajui kwamba nchi hii wapo watu ambao hawana kipande cha nguo cha kujisitiri.? Kufuru nyingine bana! yaani vitenge vinageuzwa carpet!!!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Huyo aliyevaa Gwanda Roho inamuuma kutokana na hali aliyo wakuta nayo wananchi huyu mwingine kawaambia wananchi kuwa wananuka halafu hataki viatu vyake vichafuke
   
 6. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanapewa kofia na khanga wanasahau shida zao za barabara na maji dawa ya magamba imeshapatikana ni m4c ngoja ifike huko
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,978
  Trophy Points: 280
 8. k

  kitero JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu picha zenyewe zinajielezea ni yupi yupo karibu na wananchi.Hawa mama zetu sasa huku wanakokwenda na huyu Nape inabidi kujiuliza mara mbili
   
 9. mashami

  mashami Senior Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tena unamkosea sana mkombozi kumweka na vuvuzela
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  jibu liko wazi.
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  dral slaa huwezi mlinganisha na huyo vuvuzela
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mukubwa picha zinajieleza...

  ila nafikiri magamba huwa wakikaa kwenye vikao vyao huwa wanatudharau sana sie watanzania
   
 13. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ukweli hapa Nape alichemka,c vizuri kufanya hivi hata kidogo,haileti picha nzuri
   
 14. Sunday Ngakama

  Sunday Ngakama Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bujibuji sio usultani. hebu angalia hiyo picha ya zulia la kijani halafu linganisha na za hapa chini utapata jibu.


  M4C Dar9_thumb[2].jpg
  leo jioni.jpg
   
 15. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hahaha! Hii kali!
   
 16. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  maswali menginee bwana, we nape si ameshindwa hata kwa mgombea wa ubunge ccm 2010 ( hawa ng'humbi) ndo aje kushindana na dr. anayemwita dr. feki?
   
 17. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hahahahaah duh! Walah! Mavunja mibafu angu
   
 18. wantuzu

  wantuzu Senior Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  msipende kitu kwa kupitiliza angalieni picture imepigwa wapi na mila / desturi za watu wa hapo zikoje , nnacho kiona hapo ni athari za dini songea wamempokea nape kama mkombozi wakimnukuu issa bin mariam alivyopokelewa akiingia yerusalemu ni desturi imejengeka kwa nduguzetu hawa na huko kusini hali ni hiyo hiyo tunafahamu sote sisi waislamu mambo yetu twayaendeshaje pale tujadilipo jambo muhimu , kula na kadharika ... sisi hukaa chini japo sijui muktadha halisi wa hiyo pic ilipigwa wakati gani maana naona wanaoonekana kwa nyuma ya hiyo picha nikama waliokuja kukshangaa katibu slaa wakati kwenye picha ya mwenezi nape wote wanashiriki kwenye tukio husika
   
 19. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  WOTE WAKO KARIBU, PICHA ZOTE ZINAFANANA tofauti ni mmoja kasimama na mwengine kakaa cchini kwa sababu amechoka kusimama, na ukiangalia vizuri slaa kwekewa kapeti linalofanana na gwanda wakati nape kawekewa kapeti linalofanana na gamba hivyo hakunba tofauti
   
 20. omben

  omben JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Umenikumbushesdea kwenye movie moja ya Nigeria ya nothing for nothing
   
Loading...