Najua leo umeme utawaka muda wote wa mkutano wa ccm nchi nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najua leo umeme utawaka muda wote wa mkutano wa ccm nchi nzima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Janjaweed, Jun 9, 2012.

 1. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Wadau,

  Kuthibitisha tu kwamba even our mashirika ya umma na public firms ziko kisiasa zaidi, leo umeme hautazimika hata iweje nchi nzima ili kupisha propaganda za chama tawala. it is more likely to happen

  Wasiwasi wangu ni precedent tunayoi-set hapa... kwani hizi luxury ukizizoea siku ya siku ikija zikaanza kuondoka utahisi unaonewa, napata wazo kwa sauti kuhusu siku CCM core wakiwa kwenye receiving end ya ubazazi kwa vitu kama kukata umeme ili ku-deny wengine access to deliver message nk. we saw it during CDM meeting

  Ushauri tu kwa TANESCO na wengine, wahusika wa hizi hujuma wajue kabisa hata kama ni wataalam kiasi gani, when changes come, they will go with "mabwana zao" kwani wanakua wameweka weledi pembeni

  Time is now and the wind of change is blowing at 120 miles per hour; no matter what message today, warning to CCM if you dont change now and refuel, you are heading to empty in 3 years!!
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Jamani umeme wameshakata wapi na wapi?
   
Loading...