people's power maanake ni hii

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
attachment.php
 
Inaonesha vijana wamekuja kwa nia ya kumsikiliza Kamanda na wanamsikiliza kwa makini sana unlike jamaa zetu wa magamba wanaohitaji msaada wa wasanii wa bongo fleva kuwavuta vijana
 
Atahangaika sana, Ikulu atakaribishwa juisi na tende na kahawa tu. Kuhamia mule huyo mzee, labda, kwenye ndoto za mchana.

Kashindwa kuongoza kondoo waliopotea akiwa kanisani ataweza kuchunga mbweha?

Ana uchu.
 
Kwanza Mungu akituweka hai, tunangoja sakata lake inapokaribia 2015 maana tetesi zinasema Mwenye chama (Baba mkwe) hataki Slaa agombee, sasa mkwe pale sijui atafanyaje? yetu macho!
 
mafisadi mtanuna sana kama hupendi kajinyonge,gadaff,mubarak,kaburu south africa iakuwa mafisadi hongeni bebeni watu na malori this time kula pesa ya ccm pigia m4c na usiize card ya kupigia kura ccm ilizaliwa 1977 na itazikwa 2015:clap2:
 
Atahangaika sana, Ikulu atakaribishwa juisi na tende na kahawa tu. Kuhamia mule huyo mzee, labda, kwenye ndoto za mchana.

Kashindwa kuongoza kondoo waliopotea akiwa kanisani ataweza kuchunga mbweha?

Ana uchu.

kwa hiyo wewe mbweha.?
 
Hapo pilau likipikwa mita 500 kutoka hiyo sehemu, atabaki kuhutubia majani.
 
Atahangaika sana, Ikulu atakaribishwa juisi na tende na kahawa tu. Kuhamia mule huyo mzee, labda, kwenye ndoto za mchana.

Kashindwa kuongoza kondoo waliopotea akiwa kanisani ataweza kuchunga mbweha?

Ana uchu.

yani wewe ata posho ujapewa.
 
[h=2]
icon1.png
ccm kuanzisha al shabab mikoa ya pwani[/h]
KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA WA TAIFA NI MISLAM SASA VP LEOBAKWATA WASEME WANA FELISHWA HIZI NI MBINU CHAFU ZA CCM KUWATOA WANANCHI KWENYE WIMBI LA MAGEUZI YA KISIASA NA KUIINGIZA UDINI KWENYE JAMII NI HATARI NA NI LAANA KWA HAWA WANAMTANDAO HUU TUNASEMA ILI TANZANIA IWE NA AMANI 2015 CCM LAZIMA IONDOKE ISITULETEE MAAFA.WAMEANZA UAMSHO NA HAKUNA KARIPIO KALI LILILOTOLEWA KUONESHA CCM INAVYOHUSIKA VILIVYO KABLA YA UCHAGUZI 2015 WASHINDWE WALEGEE NA WASAMBARATIKE.MUNGU IBARIKI TANZANIA:confused2:​
 
Kwanza Mungu akituweka hai, tunangoja sakata lake inapokaribia 2015 maana tetesi zinasema Mwenye chama (Baba mkwe) hataki Slaa agombee, sasa mkwe pale sijui atafanyaje? yetu macho!

siyo tetesi wewe utakuwa hosegirl wa baba mkwe wake.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom