Nimemsikia mh. Livingstone akihojiwa akasema anashangaa mama ntilie kuwa na laini nne wakati yeye ni mbunge na ana laini moja, akasema tuishi kulingana na kipato, je kwa kauli hiyo amezingatia...
Hallo JF,
Naona hotuba inaendelea ya bajeti ya serikali pale bungeni Dodoma, ukweli ni kuwa nimeanza kuona udhaifu wa Waziri wa fedha kwenda na spidi ya kumaliza lile likabrasha lenye kurasa...
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius...
Katibu mkuu wa chama kipya cha siasa Alliance for Democratic Change (ADC) Kadawi Lukas Limbu juzi ameumbuka katika mgahawa wa Falcon uliopo mtaa wa Lumumba, alipokuwa akikipondea chama cha...
ALHAMISI, JUNI 14, 2012 06:19 NA BAKARI KIMWANGA, DODOMA
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, aligeuka kivutio mbele ya Bunge, baada ya kutoa somo kuhusu umuhimu kwa taifa...
Kuna habari Michuzi blog inasema hivi:
"Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw Rene Meza akieleza jinsi Vodacom ilivyochangia zaidi ya shilingi billion 700 katika malipo ya kodi ya serikali...
Asubuhi hii wakati mh. Makinda anatoa utambulisho wa wageni mbalimbali bungeni amenishitua na kauli baada ya kuwatambulisha wanafunzi wa mwaka wa tatu na kuwaeleza kuwa wasome kwa bidii, lakini...
Nimetoka kwenye mazishi ya mwanachama wa CDM kijana Denis Saitoti aliepata ajali Nairobi.
Kamanda MIlia ametoa hotuba nzuri sana kwa niaba ya CDM. Amewaasa wanachi kuhakikisha wanatoa mchango wao...
Nawasilishi ombi langu kwa watu mlio karibu na DR. REGINALD MENGI mkurugenzi mtendaji wa IPP..kama mdau mkubwa wa vyombo vya habari hapa nchi cc wananchi tunaomba makampuni yake hasa TV kurusha...
Hapa JF kulikuwa na tuhuma kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini tu tena cha kidini lakini baada ya chedema kwenda kusini na kudhihirisha kuwa kimekubalika kila pande ya nchi tuhuma hizo hatuzioni...
Nimesoma kwa masikitiko makubwa tamko la BAKWATA kuhusu kususia sensa. Wakati natafakari, kwa nini viongozi hawa wenye weledi mkubwa kuamua kufanya jambo kama hilo, nikagundua kuwa kama watu...
Hapa jana kwenye taarifa ya habari wameonyeshwa washtakiwa wa ujangili waliokamatwa wakiwa wanatega tembo kwa kutumia maboga yenye sumu na hawa watapewa adhabu kali.
Lakini kuna kashfa ya...
Kilio changu siku zote ni jinsi serikali ya Kikwete - na hata zaidi iliyopita ya Mkapa, zimekuwa zikiyaendekeza makampuni ya kutoka nje. Maeneo matatu yanahusika sana;
- Udanganyifu mkubwa wa...
Baada ya mfuasi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabab kukwepa mitego ya makachero wa Kenya hatimaye ametiwa mbaroni nchini Tanzania. Gaidi huyo amehusika na matukio mbalimbali ya kigaidi nchini...
Wapendwa Ndugu zangu Watanzania,Naomba tuangalie kwa umakinisana swala la udini, hili swala liliibuka baada ya uchaguzi na wakati wauchaguzi uliokwisha,Na mbaya zaidi. Viongozi wakubwa wa nchi...
Bungeni leo asubuhi waziri akijibu swali la nyiongeza alilouliza Mh. Tundu lisu alisema kuwa co kweli kwamba japani wamefunga vinu vyao vya umeme vinavyoengeshwa kwa nguvu za nuclear...na pia...
MKUTANO WA CCM JANGWANI
Disko la Mbowe litaokoa sokwe wetu na rasilimali za Taifa?
Msomaji Raia
Toleo la 243
13 Jun 2012
MAKALA hii ilianza kuandikwa nikiwa katika jukwaa kuu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.