Maombi kwa dkt. Mengi kwa maslahi ya taifa na kwake binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi kwa dkt. Mengi kwa maslahi ya taifa na kwake binafsi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchaichai, Jun 14, 2012.

 1. m

  mchaichai JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 650
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawasilishi ombi langu kwa watu mlio karibu na DR. REGINALD MENGI mkurugenzi mtendaji wa IPP..kama mdau mkubwa wa vyombo vya habari hapa nchi cc wananchi tunaomba makampuni yake hasa TV kurusha vipindi vya bunge live kwani wengine tunaweza kuona ITV na EATV na STAR TV tu katika meneo yetu TBC inakamata kwa kusuasua.Tuliheshima na kupenda sana STAR TV lakini nayo siku hizi uzalendo umewatoka wanapenda hela tu.Sasa kilio chetu ni kwa h Mengi tena utamsaidia hata channel kama EATV ambayo muda wote ni music hali inafanya kupenda na watu wachache tena vijana jobless (KUMRADHI). kama itatokea kurusha vipindi vya Bunge watu wataipenda sana channel hii na hata matangazo ya biashara yatapata coverage kubwa zaidi. nawasilisha
   
 2. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Ombi lako litazingatiwa
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Pia mkoa wa Morogoro hakuna TV kabisa, tusaidie.
   
Loading...