Matusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matusi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Antar bin Shaddad, Jun 14, 2012.

 1. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Aisee lusinde ni kilaza kweli hajui kuwa cku hizi line cm hutolewa bure na makampuni ya cm! Huyu jamaa ana degree ya upumbavu
   
 2. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  We kweli kichwa maji! unadhani yeye anapenda au anakwepa gharama ya kupiga kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine! kama gharama ya kupiga mitandao yote ingekuwa rahisi unadhani angemiliki line zote? kweli uyu mbunge kilaza badala ya kutetea interconnection fees ipungue anaanza kulalamika mtu kumiliki line nne! nimeanza kuamini kuwa wabunge wa ccm ni mabwege
   
Loading...