Vodacom wamelipa kodi serikalini shs 700 billion? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom wamelipa kodi serikalini shs 700 billion?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FJM, Jun 13, 2012.

 1. F

  FJM JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna habari Michuzi blog inasema hivi:

  "Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw Rene Meza akieleza jinsi Vodacom ilivyochangia zaidi ya
  shilingi billion 700 katika malipo ya kodi ya serikali alipokutana na waandishi wa habari mjini Dodoma".

  Tarehe 28/08/2011 Waziri Mkuu Mizengo Pinda alisoma bungeni orodha ya makampuni 15 yanayoongoza kwa kulipa kodi;

  1.TBL(Tsh bilioni 165.4)

  2.NMB(Tsh bilioni 108.6)

  3.TCC (Tsh bilioni 92.1)

  4.NBC (Tsh bilioni 89.9)

  5.CRDB Bank Ltd(Tsh bilioni 79.2)

  6.Tanzani Ports Authority(Tsh bilioni 76.8)

  7.Tanzania Portland Authority(Tsh 73.4 bilioni)

  8.Airtel(T) Ltd(Tsh bilioni 63.6)

  9.Tanga cement company Ltd(Tsh 43.6)

  10.Standard chartered Bank Ltd(Tsh bilioni 40)

  11.Citibank(T) Ltd(Tsh bilioni 35.7)

  12.Resolute(T) Ltd(Tsh bilioni 32.1)

  13.TICTS(Tsh bilioni 25.9)

  14.Tanzania Distillers Ltd(Tsh bilioni 13.4)

  15.Group five international(PTY) Ltd(Tsh bilioni 9.5)

  Je, Inawezekana Waziri Mkuu alitumia wrong data? Maana kama Vodacom wamelipa kodi shs 700 billion walitakuwa wawe Number 1. Hapa kuna mkanganyiko.
   
 2. j

  julisa JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani hiyo figure kwa vodacom ni kutoka imeanza kutoa huduma nchini
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Voda warongo. Wewe unaamini serikali yako au mfanyabiashara tapeli?
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  We unataka uwaamini voda au bunge?
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  hizo bil 700 wamelipa lini?
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  julisa, orodha ya Waziri mkuu kodi kwa miaka 5. Vodacom wako sokoni tangu 1999 (miaka 13). Sasa tuamini kwamba kwa miaka 13 wamelipa 700 billion?
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  swali gumu!
   
 8. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  wizi mtupu!hata wakilipa zinaishia mifukoni mwa watu wachache
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Tsh 700 billion is an awful a lot of money, Waziri mkuu alisahu vipi kwenye speech yake bungeni last August?
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni kwa miaka 13 iliyopita!bado ni wezi kwa nini kwenye TOP TEN LARGE TAX PAYERS HAWAPO?AIRTEL WAMO.huyu mzungu huenda hatA PAYE za staff wanazolipa tra anahesabia
   
 11. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Crazy one!
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna tatizo!!!!
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Voda wamefanya press conference huko Dodoma baada ya kumaliza kikao na kamati ya mawasiliano! Tufuatilie mjadala wa bungeni tutajua ni kitu gani kimewapeleka wakubwa wa Voda bungeni!
   
 14. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  Mkuu,hii nchi ingekua daladala nishashuka ckunyingi!
   
 15. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...When i saw the news, nikajiuliza swali along that line. Tutajua -is it tax related?-, lets wait and see!
   
 16. B

  Bob G JF Bronze Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwanini atumie wrong data yawezekana voda wamelipa 700bn kama ilivo kawa zimepigwa juu kwa juu kwa maana watu wanatia mfukoni chache ndo zinaingia TRA na vitabu vya voda vikawa na figure tofauti na TRA. Mi nashauri wenye wajibu kama wapo waamushwe ili wachunguze tusikie Mafisadi wa Mwezi huu, tusahau ya kuchoma makanisa yanatuchefua
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Inaelekea walionana na Spika pia. Kuna kila dalili bunge letu limevamiwa. Ukisoma hiyo article hapo chini, ni kwamba voda watalipa mwaka huu wa fedha kodi kiasi cha shs 130bn. Na wanasema shs 700bn ni toka mwaka 2001!!! Ina maana ukiondoa 130bn za mwaka huu Voda wamelipa kodi serikalini shs 570bn. Still hii inawaweka No 1 kwenye list. Something is very wrong.

  Article ya mwananchi...
  KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania inatarajia kuchangia jumla ya Sh130 bilioni kama malipo ya kodi kwa katika mwaka wa fedha 2012/13.

  Malipo hayo yataifanya Vodacom kufikisha zaidi ya
  Sh700 bilioni ilizokwishalipa kama kodi tangu mwaka 2001.

  Akizungumza jana na waandishi wa habari mjini hapa, baada ya kukutana na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza alisema malipo ya kodi kwa serikali yamefikia zaidi ya asilimia 60 ya jumla ya uwekezaji wa Vodacom wa Sh 1.13 trilioni tangu mwaka 2001.

  Meza alisema kampuni yak ina mipango wa kutumia zaidi ya Sh120 bilioni katika kuboresha mtandao, huduma na maendeleo ya uanzishwaji wa teknolojia mpya katika mwaka wa 2012.
  (source Mwananchi)

   
 18. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  mtoa taarifa mwingne, msemaji mwngne, unategemea nn?
   
 19. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Watakuwa walilipa 700 Million na siyo Bilion kama wanavyodau. Wameona wananchi wameanza kuwakomalia sasa wanaanza kutafuta pa kujificha. Ngoja tusubiri orodha ya mwaka huu kama hawapo top 5 basi naconclude ni wezi na wakwepaji wa kodi..
   
 20. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,848
  Likes Received: 2,424
  Trophy Points: 280
  Madai yao Vodacom wamelipa hizo bilioni 700 toka mwaka 2001 hadi sasa...yaani ni kodi ya miaka 10 a
   
Loading...