Ndiyo maana mikoa ya ukanda wa pwani na zanzibar iko nyuma kimaendeleo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndiyo maana mikoa ya ukanda wa pwani na zanzibar iko nyuma kimaendeleo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NG'OMBE, Jun 14, 2012.

 1. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimesoma kwa masikitiko makubwa tamko la BAKWATA kuhusu kususia sensa. Wakati natafakari, kwa nini viongozi hawa wenye weledi mkubwa kuamua kufanya jambo kama hilo, nikagundua kuwa kama watu muhimu kama hawa wanamawazo ya namna hii ndiyo maana mikoa ya ukanda wa Pwani na Zanzibar iko nyuma sana kimaendeleo. Huu ni ukweli usio pingika kuwa, maeneo hayo ndiyo yenye waislamu wengi. Kumbe wao badala ya kuwaza mipango ya maendeleo, wanatumia muda mwingi kuwaza dini yao.Hakuna sababu yoyote ya watu wa Zanzibar kuishi maisha wanaoishi sasa kwani wanalaslimali nyingi na idadi yao ni chini ya milioni 2, tatizo ni viongozi wenye mitazamo kama ya BAKWATA. Ushauri wangu: BAKWATA fundisheni watu dini ili waishi maisha ya kumpendeza mwenyezi MUNGU, pia wafundisheni waumini mbinu za kuboresha maisha yao (elimu dunia) suala hili litawasaidia kupambana na mazingira ya dunia. Kama hamtafanya hiyo na mkaendelea kupandikiza chuki miongoni mwa waumini wenu, vizazi vyao vitaendelea kulalamikia wakristo wanapendelewa, kumbe wameanadliwa mapema. Zama hizi za Sayansi na Teknologia si za kujivunia dini yako kuwa ni bora kuliko ya mwenzako. NAOMBA KUWASILISHA.

   
Loading...