Mhe. HAMAD Rashid, Mhe. Lyatonga ndani ya TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. HAMAD Rashid, Mhe. Lyatonga ndani ya TBC1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hasan124, Jun 14, 2012.

 1. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakijadili BAJETI itakayosomwa baadae Leo pamoja na Mw/kiti WA Kamati ya Nishati na Madini MHE. Seleman.
   
 2. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nidhamu ya matumizi ya fedha ni mbovu mno..MHE. HAMAD Rashid akiungwa MKONO na MHE. Mrema mfano hai kutoka kwa MHE. Mrema ni Halmashauri ya Kishapu
   
 3. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MHE. SULEIMAN Zedi M/kiti mpya WA Kamati ya Nishati ya Madini akubali kuwa kuna gesi imegundulika na tunahitaji miaka Saba hadi NANE kwa Nchi kuona matunda yake. Hatuna Sera na sheria ya gesi nchini. Hivyo kamati yake imeliona Hilo na wananifanya kazi.
  Wanagawa pia plot mpya kwa survey zaidi za gesi. Pia wanataka pamoja na kwamba gesi imegundulika katika kina kirefu cha Bahari wao wanataka Viwanda visiwe huko baharini ila vijengwe Nchi kavu. (nimeipenda hii point)
  Sera ya gesi inakamilika mwezi huu WA Sita.
   
 4. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MHE. HAMAD Rashid azungumzia zaidi kumgusa MWANANCHI WA Kawaida (cash distribution system) kwamba unazalisha gesi Mtwara na wananchi WA pale hawafaidiki nayo. Hii si sawa.
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tuwekee link na sisi tulisikilize bunge mkuu.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  tafuta Arusha mambo
   
 7. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pia wanataka pamoja na kwamba gesi imegundulika katika kina kirefu cha Bahari wao wanataka Viwanda visiwe huko baharini ila vijengwe Nchi kavu. (nimeipenda hii point)

  Mkuu kama wana maanisha hili washughulikie kuwe na sera na sheria ya mafuta na gesi itakayotamka bayana kuwa lazima viwanda vijengwe nchi kavu.

  Kuna zaidi ya vitalu 8 viko baharini na 3 tayari vimepata mafanikio makubwa ya kuwa na gesi nyingi.
   
 8. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna kitu tunaweza Tuka gain hapa, kuhusu sera Kama nilivyokwisha wanukuu mwanzo ni kwamba wanashughulikia then itafuata sheria coz ni process ya muda kidogo so wanaamini itafanikiwa on time, tatizo ubadhilfu WA viongozi wetu sasa wanao/watakaopewa dhamana.....yani hii ndio tatizo kubwa kwa kweli. MHE. Mrema kaishikia bango. Matumaini yapo.
   
 9. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nilimuona Masha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani akitoa somo kwa wanasheria jinsi ya kuandaa mikataba ya mafuta na gesi kupitia kampuni yao ya uwakili ya PIPES.
  Inatakiwa tujifunze hili mapema ili sector hii ikianza iwe na wataalamu wa kutosha.
  Nimeona chuo cha IAA wataanza kutoa Masters za oil and gas management kuanzia mwaka huu.
   
Loading...