Tanzania imejiandaa vipi na mashambulizi ya Al Shabab? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania imejiandaa vipi na mashambulizi ya Al Shabab?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by opportunist2012, Jun 13, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya mfuasi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabab kukwepa mitego ya makachero wa Kenya hatimaye ametiwa mbaroni nchini Tanzania. Gaidi huyo amehusika na matukio mbalimbali ya kigaidi nchini Kenya hivyo anatafutwa kama lulu.

  Kenya yataka Tanzania imkabidhi kwa makachero wa Kenya. Wasiwasi wangu,je Tanzania tutakuwa salama na mashambulizi ya kuilipiza kisasi ya Al Shabab? Maeneo kama Kariakoo,Manzese, Uwanja wa Uhuru na maeneo mengine yenye mkusanyiko wa watu yatakuwa salama?
   
 2. R

  Ruhinda Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu opportunist2012 swali lako ni la msingi ni swali linalotoa tahadhari kwa kila mmoja wetu, maana hawa jamaa ni wabaya sana. Vyombo vya usalama lazima kujifunga kibwebwe kuhakikisha wananchi wa Tanzania wanakuwa salama. Lakini ndugu yangu ninahitaji kufahamu haya kutoka kwako:
  1. Huyu gaidi kakamatwa lini?
  2. Jina lake anaitwa nani?
  3. Kakamatiwa wapi na alikuwa anafanya nini?
  4. Wakati anakamatwa alikuwa na watu gani? Je, walikuwa ni watanzania au wa kenya?
  5. Habari hii umeipata wapi?
   
 3. Ngaramu

  Ngaramu JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huku Tanganyika wanakuja kwa gear ya NECTA!!!!!!!!!!
   
 4. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbona ITV wameizungumzia sana hii habari?
  Nenda kwenye uzi huu
  https://www.jamiiforums.com/international-forum/277945-top-german-terrorism-suspect-arrested-in-tanzania-police.html
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,007
  Likes Received: 2,657
  Trophy Points: 280
  sasa hapo interijensia ya Mwema imepata kisingizio,
  mikutano yetu haitapigwa zengwe kweli?
  Ngoja tuone.
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana uamsho wamemkodi!
   
 7. a

  abu alfauzaan Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawajajiandaa,wamejiandaa kuulinda muungano kwa nguvu zote
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,124
  Trophy Points: 280
  Inaaninika kuwa hawana madhara
   
Loading...