Makinda:Hakuna kuajiriwa, jiajirini wenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda:Hakuna kuajiriwa, jiajirini wenyewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 2mbaku, Jun 14, 2012.

 1. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asubuhi hii wakati mh. Makinda anatoa utambulisho wa wageni mbalimbali bungeni amenishitua na kauli baada ya kuwatambulisha wanafunzi wa mwaka wa tatu na kuwaeleza kuwa wasome kwa bidii, lakini hakuna ajira. Hili lina maana gani, je serikali ndo imegoma kutoa ajira?

  Nina imani hivi karibuni utabiri wa Lowasa utakua sahihi.
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  Changanya na zako!..
   
 3. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,613
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Badili headline mkuu.... 'Haku... Meaning hakuna?
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Bora amesema ukweli kuliko kuongopa
   
 5. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ila watoto wao kuajiriwa ruksa
   
 6. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ujasiriamali bila mitaji ndo mwendo wa kisasa bongo!

  Amesema kweli hakuna ajira hapa Bongo. Ila watoto wao utawasikia fodacom, santel, airtelefone, bariki gold etc.
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mama anapingana na ilani ya chama ya kumwaga mamilioni ya ajira 2005-2010 na 2010-2015
   
 8. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Naomba urekebishe kichwa cha habari kuna edding error:


  HAKUNA KUAJIRIWA
   
 9. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Huo ndio ukweli mkuu, serikali imeopwaya hawana mpango yoyote ya kutengeniza ajira,
  hatuna viwanda unategemea nini?
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  sSERIKALI LEGELEGE UNATEGEMEA NINIKIZURI TOKA KWAO?
   
 11. k

  kiwososa JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,083
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yeye hapo alipo amejiajiri??!!!!!!!!!!!
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Zile ajira milioni moja zimeisha?
   
 13. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kazi ya yale mabilion ya Kikweye ilikuwa ni kuwawezesha watz kutengeneza ajira milioni moja. Walakini walinywea gongo na wanzuki. Ila maofisini kweli ajira ni chache sana mpaka afisa afe au kustaafu ndio wam-replace.
   
 14. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  C C em wote ni vilazer. Think tank hawapo tene.
   
 15. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  yap,kwa watoto wao zipo,kazi kwetu sie!
   
 16. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli lakini, kwani yeye si amejiajiri bungeni since 1975 na keshasema anastaafu 2015.
  40yrs duh!
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,137
  Trophy Points: 280
  ..haya ni makosa makubwa sana.

  ..wahitimu wanahitaji msaada fulani kabla ya kujiajiri.

  ..kwenye nchi za wenzetu kuna misaada toka vyuo vikuu kwa makampuni yanayoanzishwa na wahitimu wao.

  ..pia kuna matajiri wenye mapesa yasiyo na kazi wanaosubiri wahitimu wenye IDEAS nzuri waweze kuzi-finance.

  ..sisi hapa kwetu tunawapa wahitimu vyeti bila msaada wala maelekezo ya aina yoyote ile.

  ..kwanini hata tusiamue kwamba wahitimu wa Sokoine University wawe wanapewa vifaa,ardhi, pamoja mikopo ya kuanzisha shughuli za kilimo na ufugaji??
   
Loading...