Baada ya CHADEMA kwenda kusini CCM nao waende Kaskazini

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Hapa JF kulikuwa na tuhuma kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini tu tena cha kidini lakini baada ya chedema kwenda kusini na kudhihirisha kuwa kimekubalika kila pande ya nchi tuhuma hizo hatuzioni tena hapa JF, watu bila shaka wameona ukweli wa chama hiki na jinsi kinavyopendwa nchi nzima.

Sasa nawaomba pia CCM waende kaskazini mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakafanye mikutano kama walivyofanya Jangwani.

Waende CHADEMA SQUIRE ya Arusha (NMC) wakashushe swaga pale wawavue watu magwanda na magamba tuone.
 
Hawawezi,hawataweza.
 
CDM majidanganya sana ngojeni CCM imalize chaguzi zake mwezi wa tisa au kumi ndio mtajua kuwa CCM ni chama tawala nchi hii na kipenzi cha watanzania.Nafikiri mtaishia kusema aah wamewatoa kwa mabasi ngorongoro,Babati nk kama mlivyozoea kila CCM inapofanya mikutano yake. CCM ni chama tawala milele.
 
Hapo penye red umesahau vutu kadhaa: Ubwabwa, Elfu kumi kumi kwa kila bodaboda pamoja na kuwajazia mafura ili wapeperushe bendera za CCM, kofia, vitenge, T-shirt na skafu. Mambo haya siyo uzushi, ndiyo staili halisi ya CCM katika operations zake.
 
CDM majidanganya sana ngojeni CCM imalize chaguzi zake mwezi wa tisa au kumi ndio mtajua kuwa CCM ni chama tawala nchi hii na kipenzi cha watanzania.Nafikiri mtaishia kusema aah wamewatoa kwa mabasi ngorongoro,Babati nk kama mlivyozoea kila CCM inapofanya mikutano yake. CCM ni chama tawala milele.

Unataka kusema hata Mbinguni katika ufalme wa Bwana Yesu Kristo watatawala?
The unseen is illustrated by the seen.
 
Hapa JF kulikuwa na tuhuma kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini tu tena cha kidini lakini baada ya chedema kwenda kusini na kudhihirisha kuwa kimekubalika kila pande ya nchi tuhuma hizo hatuzioni tena hapa JF, watu bila shaka wameona ukweli wa chama hiki na jinsi kinavyopendwa nchi nzima.

Sasa nawaomba pia CCM waende kaskazini mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakafanye mikutano kama walivyofanya Jangwani.

Waende CHADEMA SQUIRE ya Arusha (NMC) wakashushe swaga pale wawavue watu magwanda na magamba tuone.

Toba rabi, waende wapi vile. Waamue kumuiga tembo wapasuke msamba!!
 
CDM majidanganya sana ngojeni CCM imalize chaguzi zake mwezi wa tisa au kumi ndio mtajua kuwa CCM ni chama tawala nchi hii na kipenzi cha watanzania.Nafikiri mtaishia kusema aah wamewatoa kwa mabasi ngorongoro,Babati nk kama mlivyozoea kila CCM inapofanya mikutano yake. CCM ni chama tawala milele.

Mkuu kujua somo la historia juu ya tawala mbalimbali za dunia hii ni muhimu sana. Je wajua juu ya Roman empire? Ottoma empire? British empire nk? Ziko wapi hizi empire? Ni muhimu ukakumbuka semi usemao “Nothing is a permanent factor other than change
 
CDM majidanganya sana ngojeni CCM imalize chaguzi zake mwezi wa tisa au kumi ndio mtajua kuwa CCM ni chama tawala nchi hii na kipenzi cha watanzania.Nafikiri mtaishia kusema aah wamewatoa kwa mabasi ngorongoro,Babati nk kama mlivyozoea kila CCM inapofanya mikutano yake. CCM ni chama tawala milele.

...ww na ww cjui wa wapi?eti itatawala milele,hata kutumia akili za kuzaliwa tu unashindwa?....kuna kitu kinachotawala milele hapa duniani?hebu soma hata historia na vitabu vya dini vitakusaidia kujua kuwa hakuna kinachotawala milele......unatia aibu,lol!
 
Mkuu wengine ni vichaa humu hawaelewi kitu zaidi kukaririshwa na Nape,
msamehe bure.
 
Hapa JF kulikuwa na tuhuma kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini tu tena cha kidini lakini baada ya chedema kwenda kusini na kudhihirisha kuwa kimekubalika kila pande ya nchi tuhuma hizo hatuzioni tena hapa JF, watu bila shaka wameona ukweli wa chama hiki na jinsi kinavyopendwa nchi nzima.

Sasa nawaomba pia CCM waende kaskazini mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakafanye mikutano kama walivyofanya Jangwani.

Waende CHADEMA SQUIRE ya Arusha (NMC) wakashushe swaga pale wawavue watu magwanda na magamba tuone.

Jamani Magamba wamekuwa chama cha upinzani kufanya mikutano ya hadhara kila wakati? pale Jangwani hakuna jipya bali mwendelezo ule ule wa ahadi na mipasho. Muda huu siyo wa kutoa ahadi tena, waachie CDM na wapinzani wengine ambao hawajashika dola kufanya kazi hiyo. Waende kaskazini kwa style ya kutekeleza ahadi walizo toa kwenye kampeni na siyo mikutano ya hadhara kwa sababu watu hawahitaji hiyo kwa magamba. Watazidi kuumbuka kama ilivyotokea pale Jangwani kwa kushindwa kumaliza kiu ya wananchi baada ya kutosema wamefanikiwa nini na wamekwama wapi katika ahadi zao. Unajua bado kuna watu hawa amini kuwa magamba wanakufa! Hawana ubunifu bali kuiga kila kitu wanacho fanya CDM.
 
Unachandika bado akiingi akilini ndugu ukweli upo pale pale kuhusu ukabila na udini wa Chadema na siku zinavyozidi kwenda tutakuletea taarifa zaidi,sipendi siasa na sipendi uozo wa CHADEMA.....huku Yombo vituka kuna makundi ya wachaga yanapita kununua mashina yaliyo kuwa ya CUF kwa pesa nyingi....inaonyesha wazi mikakati yao nikuigawa nchi...kingine ni kutokuwa na sera....waelezeni nyie kama nyie mmejiandaa vipi kuongoza nchi na sio kutumia maneno ya kejeli..hao watu sio wajinga mbinu zenu chafu walitumia NCCR- MAGEUZI na CUF wapo wapi?????
 
CDM majidanganya sana ngojeni CCM imalize chaguzi zake mwezi wa tisa au kumi ndio mtajua kuwa CCM ni chama tawala nchi hii na kipenzi cha watanzania.Nafikiri mtaishia kusema aah wamewatoa kwa mabasi ngorongoro,Babati nk kama mlivyozoea kila CCM inapofanya mikutano yake. CCM ni chama tawala milele.
Ndio mnavyojidanganya hivi huko magambani!?.
 
CDM majidanganya sana ngojeni CCM imalize chaguzi zake mwezi wa tisa au kumi ndio mtajua kuwa CCM ni chama tawala nchi hii na kipenzi cha watanzania.Nafikiri mtaishia kusema aah wamewatoa kwa mabasi ngorongoro,Babati nk kama mlivyozoea kila CCM inapofanya mikutano yake. CCM ni chama tawala milele.

wewe gamba nakujua tangu ukiwa malangali sec iringa,mtu wa kujikoshakosha kwa utawala na mpanda madaraka sasa umemaliza ki-degree chako cha utawala na siasa udsm hauna ajira unabaki kujikoshakosha kwa magamba ili wakupe hata ukuu wa wilaya i think we lost you na magamba wenzio m4c inateketeza mitunguli kusini ya umaskini watu wanaamka,arusha watu hawasombeki kwa maroli watawachuna kama walovyo wafanya arumeru mssivyo na akili
 
Back
Top Bottom