Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Masha: Vijana wengi hawaipendi CCM ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana, Lawrence Masha, amesema vijana wengi nchini hawataki CCM kwa sababu hawaoni kilichofanyika tangu...
2 Reactions
83 Replies
7K Views
1. Kodi zinapanda kila siku 2. Mfumko wa bei unatajwa kila siku bila kusema serikali itaudhibiti vipi (at 19% hii ni kiama) 3. Mishahara midogo 4. Utegemezi kwa wafadhili (Hivi baba unapanga...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Na Nape Moses Nnauye Nilikuwa nikisikiliza Bunge na kusikia hotuba juu ya hali ya uchumi hapa nchini na nikajiuliza hivi hawa "watani" wetu wanaopita kuchangisha watu nchi nzima na kunadi kuwa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) JIMBO LA LUSHOTO WILAYA YA LUSHOTO-TANGA _____________________________________________ TAARIFA YA KIFO CHA MWENYEKITI WA CHADEMA KATA YA MLOLA...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo tarehe 13 June,2012 ni siku ambayo wanachadema na wakazi wa mkoa wa shinyanga hawatoisahau, siku ya mazishi ya kipenzi chao hayati Mohamed Ally Nyanga Makani.Ni siku ambayo ilikutanisha kada...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kutokana na taarifa za kamati mbalimbali zilizowasilishwa bungeni hivi karibuni kuonesha uozo mkubwa wa ufisadi wa mabilioni ya fedha katika wizara nyingi​ hazina sifa ya kuandaa bajeti...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Bila ugaidi na jinai kama biashara ya mihadarati midudu kama hii isingekuwepo. Sayansi ina utata. Inaweza kusaidia kukuza na kupunguza jinai kama inavyoonyesha kwenye ugunduzi wa gari hili lenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Nikirejea sticky thread ya marehemu mheshimiwa Regia nadhani pia nivema tukawa na thread yenye kuchangia maoni yetu kwa wizara mbalimbali ili nasi tusio na access na jukwaa la kusemea huenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I UTANGULIZI: 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu liweze kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
BAJETI YA TANZANIA HUANDALIWA WAKATI HAZINA HAINA HELA, NA HUWA HAITEKELEZEKI, NI BAJETI YA KISIASA ZAIDI KULIKO UHALISIA, PAMOJA NA KUSOMWA KWA MBWEMBWE LAKINI HAITEKELEZEKI. HII NI KUTOKANA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ziara za muheshimiwa rais kumbe ndo huwa zinaishia kwa kukutana na wasanii na wanasoka
4 Reactions
122 Replies
14K Views
By Dylan Stableford | The Lookout – 1 hr 34 mins ago Egyptians shout anti-military slogans during a protest in front of the constitutional court in Cairo, June 14, … Egypt's high...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Leo dodoma, kaulizwa swali na mtangazji wa tbc1. unaionaje bajeti hii. kaisifia sana na kusema itasaidia sana wananchi na zaidi anaipongeza serikali kwa kutenga bilioni 500 za maji.. hilo cha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ester bulaya wakati anahojiwa na TBC alikua akitamka neno TILIONI badala ya TRILIONI, mara ya kwanza nikadhani ulimi tu umeteleza lakini akawa anarudiarudia. wakati naandika post hii lusinde nae...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mhe Kiongozi wa Upinzani Bungeni, tafadhali kesho katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu muulize imekuwaje Mbunge toka Zanzibar (ingawa alishakuwa mbunge wa Mkuranga) ameteuliwa kuwa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajf mpaka sasa sijui huwa inakuwa maana serikali yetu inakuwa na matumiza ya hajabu Hivi wizara ikipangiwa fungu fulani linalibaki uwa linaenda wapi? Mwaka jana serikali ilitoa bugdet ya Tshs...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Mapambano yanaendelea. Hawa Nghumbi amekata rufaa dhidi ya ubunge wa John Mnyika. sasa ngoma mahakama ya rufaa. Tausi Ally na James Magai | Mwananchi | 13 June 2012 ALIYEKUWA mgombea Ubunge...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Hakika serikali haimjali MKULIMA imemntengea asilimia moja ya BAJETI nzima.WANANCHI wanapaswa waamke wajue hii SERIKALI haiwatambui imewajali wanaoishi MIJINI.WANANCHI sasa jiandaeni mtakunywa...
1 Reactions
2 Replies
906 Views
Mwenyekiti wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe ameeleza kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013 kwa kutogusa mahitaji halisi ya wananchi. Ameeleza tatizo kubwa la sasa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwalimu wangu amenikataza.Amesema tuliyoyashuhudia njiani,tuliposafiri kwa treni toka Dar hadi Dodoma, atayasema mwenyewe ima kwa maneno au kwa vitendo.Amesisitiza kuwa amejifunza mengi njiani na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom