Updates: Hotuba ya bajeti ya serikali kwa mwaka 2012/2013 toka dodoma....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Hallo JF,

Naona hotuba inaendelea ya bajeti ya serikali pale bungeni Dodoma, ukweli ni kuwa nimeanza kuona udhaifu wa Waziri wa fedha kwenda na spidi ya kumaliza lile likabrasha lenye kurasa zaidi ya 200 na anaonekana kuchoka kadri muda unavyokwenda. Lakini pia ukweli ni kuwa inaonekana kama bajeti haina vitu vipya sana, ni kama kuna marudio ya vile ambavyo vimewai semwa huko nyuma. Vinginevyo tuendelee kupeana updates, hoja, vihoja na vituko kwenye hii bajeti ya mwaka 2012/2013.


Nawasilisha.
 
Hata atumie siku nzima kuisoma hakuna tatizo, cha msingi yaliyomo ndani.
 
Siku ya siku utasikia Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Ndo tutakuwa tumeliwa.
 
usikivu ni hekima! msikilkize aongee amalize ndio umkosoe kwa takwimu na hoja!!
 
mtu mzima akiwa anazungumza ni vema amalize ndipo hoja na mambo mengine yafuatie,ila kama kuna dosari yoyote ebu tuwasilishie yako.
 
dah! waziri so siri anakiwewe manake michapio ya hatari! mara kambuni badala ya kampuni,marakabisho badala ya marekebisho.wasanii mmesikia hyo pirates of arts works?
 
Wale mnao penda sifa sasa mtaruhusiwa kuandika majina yenu kwenye magari yenu lakini mtalipia million 5 kwa miaka mitatu.
 
Ameongeza kodi ya mshahara PAYE, na kutoa exemptions za magari kwa wafanyakazi wa serikali. Anazidi kumnyonga mnyonge.
 
Back
Top Bottom