Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,835
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.
 
Pole sana ndugu yangu, kama unataka kuijua vizuri CDM waulizwe akina Membe watakwambia CDM ni nani?
Propoganda hizi zimepitwa na wakati, anyway, kachukue posho yako.
 
Kwani tatizo la Ubepari ni nini? usijekuwa unatokwa na povu bila sababu za msingi.
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.

Ni nani aliyekuambia kuwa wanadaiana?
 
Ccm inapata kiasi gani kwa wahisani? Je mnazilipaje?..chadema imeshaliona tatizo la kuomba omba ndiyo maana tunataka chama chetu kiendeshwe na kwa pesa za watanzania tena walala hoi, nyie endeleeni kuwategemea wa marekani na hivi siku hivi wana bariki ndoa ya jinsia moja tutamuona yle jamaa bingwa wa kuhongwa suti na kulipiwa gesti kama atazidi kukimbilia huko..
 
Aaaagh....Peleka kule kwa magamba wenzako hivi unafahamu misingi mikuu ya upepari wewe... Kisha wafahamu Tanzania ya sasa ipo pia katika mfumo huo? For your info. Mkapa kesha tuingiza katika mfumo huo kwa kuanza na sera zake za ubinafsishaji na uwekezaji tena wao wameiba raslimali za nchi hii. Haya tueleze Mkapa alitoka chama gani. Upunguani mwingine msituletee humu. Siku nyingine kabla hujaposti kitu chochote fanya yafuatayo:
  • Uhakika wa kitu unachokizungumza.
  • Upembuzi/uchanganuzi wa kina
  • Mifano halisi wa unachokizungumzia kutokana na data ulizokusanya.
Vinginevyo sijaona kitu cha msingi hapa ni pumba pumba tu umezileta and I think you are not even a little thinker.
 
Annael, Tatizo siyo wewe ni kichwa kuwa na ubongo wa mende kuishi na kula mavi chooni.,Hivi chenge ni kiongozi wa chama na serikali ipi ? mbona ana fedhwa kuliko hata idara ya serikali yeye anaumini siasa za wapi?.Acha kutumika vibaya zaidi ya condom.
 
Nyerere aliwahi kusema upepari ni mnyama. Katika dunia ya leo kila kitu kinaendeshwa ki bepari bepari kwa hiyo tunaishi ki unyama unyama. CCM unyama unyama tu, hata CHADEMA nao ni unyama unyama. Iliyobaki hata watu wa kawaida tuishi ki unyama unyama tu.
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

Kuna tofauti yoyote na ilivo katika ccm na serikali yake leo?
 
Haki ya mu... Nilikua siamini kama kuna watu wana akili za Samaki. Annael, You have proven ma wrong! Pole sana.
 
Back
Top Bottom