kabla ya mkutano wa jangwani huyu mtu alikuwa huko huko Iringa naona tena karudi kuisambaratisha chadema hukohuko kwa wanyalukolo.
namshauri aje na huku arachuga
Waziri Mwakyembe atoa siku 3 kwa maofisa waliohusika na rushwa reli ya kati kujisalimisha. Hi ni baada ya kupanda usafiri wa njia reli kwenda Bungeni. Je huyu ndiye mchapa kazi??Nangojea matokeo...
Makamanda wa cdm, zito kabwe, john mnyika, sugu na godbles lema kuwasha moto leo uwanja wa kihesa manispaa ya iringa.Mkutano wa nape ambao ulitakiwa ufanyike leo uwanja wa mwembetogwa waahirishwa...
Serikali zote zimekua zikiongeza ushuru kwenye vitu viwili mara kwa mara. Bajeti zote utaziona zikiwa zimelenga vinywaji vyote kwa ujumla wake na sigara safari hii wameenda mbali zaidi kumkaba...
Jana wanamafinga wameweka wazi chama cha mapinduzi ndo chama kinachoongoza kwa ahadi hewa na wananchi wamekichoka mpaka wanafikiria kiondoke kabla ya 2015, walimwambia nape kwenye ziara huko mafinga
Wakuu,
Serikali imekuwa ikitupa hadithi sisizo na maana kila bajeti inapofika.
Neno sungura mdogo huwa ni msamiati bungeni kila bajeti inaposomwa.
Kwa kuwa sungura mwenyewe ni wetu ni lazima...
Mmie nimeamua rasmi kuungana na bakwata kwa kupinga sensa mpaka kipengele cha dini kiingizwe kwa sababu nazani ni haki yangu kama wengine kuamua hivyo ili na sisi tujue tuko wangapi. baada ya hapo...
Kutokana na hali ya wananchi watanzania kuwa mbaya katika miaka ya nyuma sasa wanahitaji mabadiliko ya nguvu na ya haraka ambayo wazee waliozoea kusema vijana taifa la kesho, je serikali iko...
MWENYEKITI wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, anakusudia kufungua kesi mpya katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika iliyoko Arusha, kudai serikali ya Tanganyika...
Bajeti ya serilali iliyosomwa jana imetengwa bilioni 7.5 kuanzisha jeshi la kujenga taifa.
Hakuna mtu anayepinga kuanzishwa kwake, kutokana na misingi na umuhimu wake. Lakini je, fedha hiyo ni...
Nimemsikia Nape kwenye taarifa ya habari ya ITV akitoa maagizo kwa mkuu wa Iranga kushughulikia mala moja matatizo ya wafanya biashara wadogo wa mbao wa wilaya ya Mufindi baada ya wafanya biashara...
Iko haja ya kuangalia upya mfumo wa mahakama zetu! Kesi za utumiaji mbaya wa madaraka, rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi zisichukue muda mrefu bila kutolewa maamuzi. Kwanza ni hasara kwa serikali...
Rais Kikwete amezunguka dunia nzima sasa akipigia debe wawekezeji Wakubwa kuja kuwekeza nchini kwa kile anachodai ni kuongeza uwezo wa kuzalisha chakula. Check Matokeo katika nchi nyingine then...
source: kwanzajamii
WANANCHI wa wilaya ya Maswa katika mkoa mpya wa Simiyu wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kuiondoa wilaya hiyo katika mkoa huo mpya ili wabaki katika mkoa wa zamani wa Shinyanga...
WANAJF: siku ya kesho tutakuwa na ufunguzi wa tawi la CBE pamoja na DIT.
Ufunguzi wa tawi hilo litafanyika kwenye ukumbi wa DONBOSCO UPANGA. Vile vile tutafungua matawi katika majimbo ya Dar...
ITV Habari
Katika hari ya kumkomboa Mtanzania serikali imewataka wananchi wa Mkambarani kuhama na kuwapisha Islamic Foundation Tanzania kwa shughuri mbalimbali za taasisi hiyo. Ukubwa wa eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.