Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wandugu, Nchi hii, ina mambo ya kushangaza sana. Tunaambiwa kila mwezi TRA wanakusanya kiasi cha kuvuka malengo. Eti wakati mwingine wanafikisha asilimia 113!! Ajabu, tangu awamu ya nne iingine...
0 Reactions
5 Replies
907 Views
baada ya harakati zake kutaka aongezewe muda zaidi katibu mkuu wa wizara ya ujenzi balozi Herbert Mrango amabaye muda wake alioongzwa unaisha tarehe 1 mwezi ujao, sasa anahaha kutaka nafasi yake...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa CHADEMA, wilaya ya Mbeya mjini, John Mwambigija, leo amenusurika kushushwa jukwaani na kupigwa na baadhi ya wanachama waliokuwa na mabango ya kutomtaka. Mwambigija aliokolewa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Ndugu wanaJF salamu Kutokana na mchakato tulionao hivi sasa kuhusu mabadiliko ya katiba yetu, leo nimependa nitoe maoni yangu kuhusu baadhi ya mambo ambayo ningipenda yaingizwe kwenye katiba mpya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
maoni ya mapendekezo ya katiba mpya
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF naomba tuwe tunapeana vitu ambavyo tunahitaji viwe katika katiba mpya kwani kuna watu ambao hawatafikiwa na ile tume ya kuratibu maoni ya wananchi, kwa hiyo wale watakaopata nafasi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1. ''WATANZANIA WARUHUSIWE KUPIGA KURA YA URAIS POPOTE WALIPO DUNIANI''. 2. ''KUFUFULIWA KWA NCHI YA TANGANYIKA ILIYOPATA UHURU TAREHE 09 DESEMBA 1961, NA KUUNDWA KWA SERIKALI TATU (Muungano...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Dawasco kuna nini mbona maji hayatoki leo siku ya nne huku Mbezi beach na maaneo ya Kawe. Watu tunahangaika sana kutafuta maji lakini chakushangaza hata kwenye vyombo vya habari sijasikia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napendekeza uchaguzi wa bunge uwe tofauti na wa rais hii itakuwa vizuri ili kuepusha mkanganyiko wakati wa kuhesabu kura.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kweli tumefilisika,amini usiamini mifuko ya kukusanya mkojo MUHIMBILI HAMNA!!!!!!mgonjwa anawelewa catheter na glove ......how can input and out put monitored......dead leaders sick country...
0 Reactions
5 Replies
995 Views
Wanajamvi! Hii sms ilisambaa sana mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi(niliipata 18/11/2010). Lakini kinachonishangaza badala ya chama kufa ndio kinazidi kukua kila siku. Sijui aliyeianzisha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Aliyekuwa mgombea udiwani kata ya nyasa kada mkubwa wa cuf Yusuph Omary Ally leo ameahama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya migongo Masasi Mtwara Kassim Bingwe
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika ule muendelezo WA kuangamia kwa chama cha wananchi CUF almaarufu Ngangari, Uongozi WA Sekretarieti ya Vijana Taifa ya chama hicho Bara imejiuzulu rasmi hapo tar.08-06-2012. Waliojiuzulu ni...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Leo Jumamosi tarehe 16/06/2012 ndiyo siku Mh. Kigwangallah (MB) anafanya maandamano na mkutano ndani ya Jimbo lake la Nzega, na kwa maelezo yake akiungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaomuunga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KATIBU wa itikadi na uenezi wa Chama cha mapinduzi ( CCM) Nape Nauye amewataka viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo kuzuia madandarasi wanaofanya kazi katika wilaya hiyo ambao wanashindwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba niwashirikishe hii wana JF, Hospitali ya wilaya Mafinga iliyoko mjini mafinga (IRINGA) amabako jana NAPE alitolea kauli yake ya kukalipia watumishi ndo kiini cha yeye kutoa ile kauli...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa bajeti ya nchi za jumuiya ya afrika mashariki iliyosomwa bungeni hivi karibuni kwa mwaka 2012/13 nchi za kenya ma uganda zimeonyesha kupigia hatua hasa swala la utegemezi wa wazungu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Friday, June 15, 2012 Na Mwandishi Wetu, Songwa-Shinyanga Baadhi ya waandishi kutoka jijini Dar es Salaam na mkoani Shinyanga wametembelea machimbo ya almasi yanayofanywa na wananchi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
CCM haikubaliki tushirikiane kuitokomeza. Wanachama na wapenzi wa CHADEMA na wananchi wote wa jimbo la segerea na dar es salaam kwa ujumla, baada ya kuitikisa kusini na viunga vyake sasa m4c...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Back
Top Bottom