CDM kuwasha moto leo Iringa.

Mlyafinono

Senior Member
Apr 6, 2012
177
47
Makamanda wa cdm, zito kabwe, john mnyika, sugu na godbles lema kuwasha moto leo uwanja wa kihesa manispaa ya iringa.Mkutano wa nape ambao ulitakiwa ufanyike leo uwanja wa mwembetogwa waahirishwa hadi kesho kwa kuhofia kukosa watu.
 
kamanda utakuwepo pale kihesa???? karibu , usije ukakosa kuona makamnda wakiwasha moto
 
Mi nadhani wangetulia dodoma waipitie hotuba ya bajeti, waichambue waifanyie group discussion ili kila mtu awe nondo sawa na mwenzake. Na kurudi iringa, sijaipenda nadhani wangerudi kule walikoahirisha op okoa kusini ingekuwa njema. Iringa chadema siyo pa kutumia nguvu, mchungaji anatosha kabisa
 
CDM chama cha mjini tu ccm inacheza twist mpaka na wanyama porini (ina matawi mpaka Bush)
 
Mi nadhani wangetulia dodoma waipitie hotuba ya bajeti, waichambue waifanyie group discussion ili kila mtu awe nondo sawa na mwenzake. Na kurudi iringa, sijaipenda nadhani wangerudi kule walikoahirisha op okoa kusini ingekuwa njema. Iringa chadema siyo pa kutumia nguvu, mchungaji anatosha kabisa

mkuu wangu upo?
Nashukuru kwa ulele ufafanuzi wako kuhusu KANISA LA KRISTO. Msalimia Zuberi Mwakiami, Edwini Kashumba, Iddi Nyabusani, mchungaji Diigo n.k, waambia ACSOP iko safi. Wakumbushe pia kuwa mambo ya siasa ni muhimu sana kwa sababu ndiyo inayoamua bei ya mkate wetu wa kila siku.
 
Huyu Lema amekuwa kama upepo sasa, sababu kuna taarifa kwamba atakuwa Dar es Salaam, wewe nae unasema atakuwa Iringa. Mmeanza Mambo ya CCM sio?
 
Mi nadhani wangetulia dodoma waipitie hotuba ya bajeti, waichambue waifanyie group discussion ili kila mtu awe nondo sawa na mwenzake. Na kurudi iringa, sijaipenda nadhani wangerudi kule walikoahirisha op okoa kusini ingekuwa njema. Iringa chadema siyo pa kutumia nguvu, mchungaji anatosha kabisa

halafu ukiambiwa uchangie gharama unakuwa mbishi sasa unataka warudi kusini, anyway labda unajua kiasi gani cha kazi bado kinahitajika huko, wewe ndo mratibu wa shughuli za cdm
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom