Bajeti ya Tanzania na Rwanda=Trillion 15!

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
488
Inasemekana budjet ya rwanda ni Tshs trillion 15, wakati idadi ya wananchi ni million 6 tu, Tanzania nao eti ni Tshs 15 trillion
 
Unasema Inasemekana, tupe kwa Uhakika... kwanini tujadili yanayosemekana kumbe sio ukweli?

Tupe Source; tufurahishe kwa Hoja yako sio kutusikitisha
 
  • Thanks
Reactions: FJM
hapa c mahara pa majungu. Ni triliön 1.5 cy 15. Hata kama ni mjinga atafahamu.
 
Pitia hapo uone bajeti yao. Pia angalia hiyo attachment

http://www.minecofin.gov.rw/library/nb/2012-13 Budget Statement.pdf

OK, that what i was excited telling the source is the best...

1st Exchange Rate Between Rwandan Franc's & Tanzanian Shillings...

1 Rwanda Franc RWF = 2.59 Tanzanian Shillings TZS

1,385.3 billion RF Budget Revenue Projected = 3,593.17 billion T shillingsRwanda Revenue in TZS

Budget yao haijafika Trillion 15 kama unavyosema Umeona conversion rates; it is only in Billion just 3.5 billion shillings
 
Mkuu sio mimi niliopost mada, mimi nimekurushia tu hiyo bajeti. Lakini ahsante kwa kukokotoa. Nilichovutiwa mimi na hiyo bajeti jinsi walivyopanga hiyo speech na vipaumbele vyao
 
rwanda wapo mbali hatuwezi kujiringanisha na sisi.wao bajeti yao wana upungufu wa RWF 137.3 ambazo ni kama billion 355 za kitanzania (yaani 10% tu watakopa wakati sisi karibu 50%)
 
OK, that what i was excited telling the source is the best...
1st Exchange Rate Between Rwandan Franc's & Tanzanian Shillings...
1 Rwanda Franc RWF = 2.59 Tanzanian Shillings TZS
1,385.3 billion RF Budget Revenue Projected =
3,593.17billion T shillingsRwanda Revenue in TZS
Budget yao haijafika Trillion 15 kama unavyosema Umeona conversion rates; it is only in Billion just
3.5 billion shillings

nngu007, hesabu, hesabu, hesabu...sahihisho kidogo tu - 3,593.1 billion Tshs sio sawa na 3.6 billion Tshs, ni 3.6 trillion Tshs.
 
Mkuu sio mimi niliopost mada, mimi nimekurushia tu hiyo bajeti. Lakini ahsante kwa kukokotoa. Nilichovutiwa mimi na hiyo bajeti jinsi walivyopanga hiyo speech na vipaumbele vyao

Asante Sana... Nimeisoma hiyo bajeti yao, kweli inavutia Sana Wanavipaumbele Vizuri haswa na Wanaona Uchumi wao Utakuwa kwa kiasi cha asilimia 7 kwa Mwaka wa fedha lakini walipanga ukue kwa asilimia 8
 
umekosea katika rate kijana exchange rate iko hivi 1Tsh,=0.39frw (rwandamoney) na siyo 1Tsh, =2.59 hiyo exchange rate ya leo kwahiyo bado umewaibia ukipigia ile rate yako kwahiyo rwandese bado wako juu pamoja na kwamba ni nchi isiyokuwa na vyanzo vingi vya mapato zaidi ya magri yanayoingia rwanda kutoka nje ya rwanda kupitia mipaka mbalimbali pia wakitegemea haswa utalii wa magorilla
 
Ikiwa barabara za lami zinazojengwa Tanzania kwa wakati huu, zitatandazwa Rwanda basi itafunikwa na lami yote na watakosa hata ardhi ya kulima - Magufuli, viwanja vya Jangwani.
 
ya kenya ni ksh 1.5tr..ukiconvert to tsh inakua tsh 25tr..hili gap ni aibu

Siyo ibu. Kenya ina viwanda, Tanzania hakuna. pili; Kenya imekwisha toka kwenye kundi la nchi masikini zaidi duniani - least developed countries -ldcs. Tanzaania inajivunia kuwa kwenye kundi hili. Kenya haitegemei misaada mikubwa kwenye bajeti yake, kusema kweli inajitosheleza na ndiyo sababu husikii 'wakubwa' wakiikoromea. Suluhu yetu ni kuacha kuvijunia u-ldcs. na tuache kuwaonea wivu wakenya, wanaendelea. pia nchi inayoongoza kwa kuwa na makampuni mengi ya uwekezaji Tanzania ni Kenya, siyo hata Afrika Kusini. tafakari.
 
Unasema Inasemekana, tupe kwa Uhakika... kwanini tujadili yanayosemekana kumbe sio ukweli?

Tupe Source; tufurahishe kwa Hoja yako sio kutusikitisha

Mjadala wa number unataka uwe na uhakika usilete kitu kama huna uhakika
 
Ikiwa barabara za lami zinazojengwa Tanzania kwa wakati huu, zitatandazwa Rwanda basi itafunikwa na lami yote na watakosa hata ardhi ya kulima - Magufuli, viwanja vya Jangwani.

Kwa hiyo? Support your comment
 
lakini hata kaka budget zinatofautiana tuangalie uwiano wa wananachi na raslimali tulizo nazo utaona tunatakiwa kujipanga kama kenya wanafanya vizuri kwenye viwanda sisi hatuwezi? na kama kenya inaendela hata kucopy and pest hatuwezi kwa jirani zetu hawa? Jamani watanzania wenzangu tukubaliane maendleo hayaletwi na nchi za kigeni wa bali ni sisi na uzalendo wa raslimali tulizo nazo kuzitumia vizuri na kujua jinsi ya kuzipangilia.
 
Back
Top Bottom