Matokeo ya kile JK anachokipigia debe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya kile JK anachokipigia debe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DEO MAFURU, Jun 14, 2012.

 1. DEO MAFURU

  DEO MAFURU Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais Kikwete amezunguka dunia nzima sasa akipigia debe wawekezeji Wakubwa kuja kuwekeza nchini kwa kile anachodai ni kuongeza uwezo wa kuzalisha chakula. Check Matokeo katika nchi nyingine then pima kama kuna umuhimu wa wewe kukaa kimya wakati jamaa anatudanganya.

  About Land Grabbing- Stop Africa Land Grab
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,937
  Likes Received: 9,801
  Trophy Points: 280
  Anaenda kutalii
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,721
  Likes Received: 28,687
  Trophy Points: 280
  Jk anauza ardhi pamoja na viumbe hai vilivyo juu ya ardhi hiyo.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Hana lolote jema alilofanya kuboresha maisha ya wananchi wa nchi hii, zaidi ya kwenda kutalii na kwenda kumeza Truvada
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  poor african viongozi wetu ni vichaa kabisa ,Angalia historia ya south africa kitu walichofanyiwa na makaburu ,mimi namchukia sana huyo bwana hana akili kabisaa,heri wangemuacha GADDAFI wakamchukua huyu wetu jamani
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wewe mwenyewe hujatueleza wazo lako baada ya kusoma au mtizamo wako.......haijakaa vizuri
   
 7. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,349
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Reality ni kuwa nothing new from 2005 up to now than tanzanian citizen to be more poor than before
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,935
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 12,928
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Lonely Kikwete.
   
 10. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Haya bana, tumepata maelezo kamili. thanks
   
 11. DEO MAFURU

  DEO MAFURU Member

  #11
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikuwa na Sababu ya kutoa mtizamo ila ni wewe mwenyewe kuona matokeo ya kile kikwete anahokiita uwekezaji mkubwa katika nchi nyingine na uchukue hatuakuzuia hili swala
   
Loading...