Changes 4 new generation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changes 4 new generation

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Comi, Jun 16, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Kutokana na hali ya wananchi watanzania kuwa mbaya katika miaka ya nyuma sasa wanahitaji mabadiliko ya nguvu na ya haraka ambayo wazee waliozoea kusema vijana taifa la kesho, je serikali iko tayari kwenda na kasi hii?.

  Tafakari na chukua hatua ili tutike hapa tulipo, siasa safi inaletwa na wewe, amani inaletwa na wewe, endelea ...........
   
 2. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna muda wa kupoteza kwani muda wa kuishi umepungua sana bora vitu vifanyike mapema kwa muda huu uliopo.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Tuchukue hatua gani sasa?
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kweli lakini kajipange uiweke vizuri thread yako ivutie
   
Loading...