Lema: Kesho kufungua tawi la CBE pamoja na DIT pamoja na mikutano mikubwa 40 Dar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema: Kesho kufungua tawi la CBE pamoja na DIT pamoja na mikutano mikubwa 40 Dar.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Jun 15, 2012.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  WANAJF: siku ya kesho tutakuwa na ufunguzi wa tawi la CBE pamoja na DIT.

  Ufunguzi wa tawi hilo litafanyika kwenye ukumbi wa DONBOSCO UPANGA. Vile vile tutafungua matawi katika majimbo ya Dar kesho, siku ya jmapili tutakuwa na mkutano mkubwa Segerea kabla ya hapo kutakuwa na ufunguzi wa matawi 12 kuanzia asubuhi saa nne.

  WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hivi Lema anaruhusiwa kufanya shughuli za kisiasa mpaka Dar es Salaam, nilidhani anaishia Arusha tu.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Chapeni kazi makamanda, CCM wana weweseka vibaya kabisa na kasi ya CHADEMA.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ndiyo kosa llilifanywa na Ikulu wange mzuia na kufanya kazi za kisiasa jkabisa maana kwasasa anawavua nguo...mfano mpaka leo wameshindwa kumjibu walaka wake wanajadiliana......
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ikumbukwe hata Pinda haja mjibu licha ya kusaidiwa na Anna kinda....
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Nasikia Nape yuko Kusini sasa si itabidi arudi tena dar haraka sana, atajigawaje? hii ni kupeana frustrations sasa.
   
 7. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimetamani Nepi Nnawaya awepo,na arudishe kadi ya CCM.CHADEMA inapanda inashuka inatulia kati.CCM wana nini la kutueleza tukaelewa.Ni muda tu utawaeleza kwamba hatuwataki.NAAPA KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU,SIMTOIPA CCM KURA HATA KWA BASTOLA,NA SIJAWAHI KUIPA NA NDIO MSIMAMO MPAKA NAFUKIWA MAVUMBINI.
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa! Mimi sitaki kuamini kua uelewa wako ni mdogo kiasi hiki,sitaki kuamini kama ndio umefikia kiwango hiki,sitaki kuamini kuwa ile nguvu za fedha mnazosaini kuipigia debe CCM ndio zinakufikisha hapa leo,sitaki kuamini,nasema tena sitaki kuamini na bado siamini
   
 9. kekuwetu

  kekuwetu JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 327
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwani Dar ni nje ya Tz? mwendo ni ule ule kaka.
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  :mvutaji:
   
 11. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  safi kamanda LEMA tumia hii likizo ya ubunge kuiangamiza ccm. big up sana kamanda.
   
 12. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Like Lema like Martin Luther King Jr.
   
 13. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  teh teh teh ......nimeipenda
   
 14. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwana-asha pia mwanasheria.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  :behindsofa::tape:
   
 16. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Nape yuko wapi?? Inavyöonekana amehama Dar kabisa, akiwafukuzia CDM, na asipoangalia atajikuta anajiunga nao pasipo kujitambua! Mi nampa tu muda, jitihada zake yupo mwenyewe huko ccm, mwishowe atakata tamaa na atajiunga na akina Lema. Mwache aendelee kuufuata huo moto, wale ni NEXT level. Kila la heri jembe (LEMA)
   
 17. k

  kilikiliani Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona Nape analo! Mpaka ifike 2015
   
 18. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Safi hii elendelea Mh. Mbunge wetu!
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wao wana pesa sisi tuna Mungu.
   
 20. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Saa ngapi? Utaratibu ukoje? Tulete magamba? Tuvue?
   
Loading...