Nape njoo uisambaratishe CHADEMA huku Arusha

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
kabla ya mkutano wa jangwani huyu mtu alikuwa huko huko Iringa naona tena karudi kuisambaratisha chadema hukohuko kwa wanyalukolo.
namshauri aje na huku arachuga
 
kabla ya mkutano wa jangwani huyu mtu alikuwa huko huko Iringa naona tena karudi kuisambaratisha chadema hukohuko kwa wanyalukolo.
namshauri aje na huku arachuga

Nape anajua fika arusha hawatamsikiliza,..ni bora aishie hapo hapo iringa wala asiende hata mby
 
Labda kama Arusha mnahitaji kesi. Makamanda wa hapo A town hawatamuacha!
 
Bora asije maana akija nikutafutiana majeraha na kesi, hatuhitaji mkutano wa ccm
 
Nakumbuka Nape alikuwa na ziara mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. alianzia mji mdogo wa Himo mkutano wake wa kwanza ambao ulihudhuriwa na watu wafupi sana sijui aliwabeba kutoka wapi, mpaka wenyeji wa pale wakawa wanajiuliza hawa watu wametoka wapi!
Mkutano wa pila akaja Moshi stendi ya mabasi, akaambulia wapiga debe tena wakiendelea na shughuli zao. Baada ya kuona moto wa Moshi akasita kukanyaga Arusha!
Nape kuja Arusha labda iwe ni ziara ya kuja kujivua gamba akaungane na kamanda wa ukweli Godbless Jonathan Lema kwenye mapambano ya kudai uhuru wa kweli wa Tanganyika yetu!
 
Kwetu Mbeya Nape Nnauye angeitwa NYUKI WA MASHINENI. C unajua analewa vumbi la unga hivyo hana madhara,atakuwa anarukaruka tu. Wanaomsikiliza ni haki yao kwani kwetu kuna msemo:HATA MOTO WA MPUMBAVU HUOTWA!
 
Nakumbuka Nape alikuwa na ziara mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. alianzia mji mdogo wa Himo mkutano wake wa kwanza ambao ulihudhuriwa na watu wafupi sana sijui aliwabeba kutoka wapi, mpaka wenyeji wa pale wakawa wanajiuliza hawa watu wametoka wapi!
Mkutano wa pila akaja Moshi stendi ya mabasi, akaambulia wapiga debe tena wakiendelea na shughuli zao. Baada ya kuona moto wa Moshi akasita kukanyaga Arusha!
Nape kuja Arusha labda iwe ni ziara ya kuja kujivua gamba akaungane na kamanda wa ukweli Godbless Jonathan Lema kwenye mapambano ya kudai uhuru wa kweli wa Tanganyika yetu!

Mungi waombe radhi watu wa same plz.
 
kabla ya mkutano wa jangwani huyu mtu alikuwa huko huko Iringa naona tena karudi kuisambaratisha chadema hukohuko kwa wanyalukolo.
namshauri aje na huku arachuga
Hana point yeyote ya kuwafanya wananchi wa Arusha wakusanyike ili wamsikilize,Inabidi ajivunze mbinu za ukatibu uenezi kutoka kwa kamanda Lema kwanza.
 
Mungi waombe radhi watu wa same plz.

Mkuu jamaa aliwaleta watu kutoka Korogwe bana siyo same! Watu wa Same wameshaamka bana!
Waliokuwepo Himo wengi wao majina yalikuwa yanaanza na She......
 
Arusha ccm tulishaizika zamaaani kitambo sasa,sijui huyu mcheza kiduku na gofu atakuja huku kumhutubia nani.Maisha ni magumu sana tuna hasira na Serikali hii ya Jakaya sbb inatakiwa kuwajibika kwetu sie wananchi,sasa hizo habari za Nape kuja kutukana huku hatorudi salama
 
Mwambieni aje ahutubie watu wa mtaa wa bondeni,pangani na majengo maana wote pamoja na yeye ni wala miraa halafu akitoka hapo aende ngarenaro kwa wanaosema garanaro kubwa kuliko arusha halafu akamalizie ...........
 
Back
Top Bottom