Kati ya wanaotoka bungeni na wanaoitwa kwenye cocus wanambembelezwa wanatulia nani watoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya wanaotoka bungeni na wanaoitwa kwenye cocus wanambembelezwa wanatulia nani watoto?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, Jun 16, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna kamchezo wameshaona fashion wabunge wa CCM wanalalamika badae wakiitwa chemba kwao wanambembelezwaa wananyamaza..nawafananisha na watotoo wanaolia wakitaka wambembelezwe tu sijui nakosea au ndio taratibu jamani..unajua huwa nawaza wanasumbuaga nn sasa kama badae wakiitwa tu wananyamaza nakosa jibu nisaidienei jemeni..!na wale wanaotoka bungenio si wanaambiwaga ni watoto sasa nani kati ya makundi haya mawili yanafanana na tabia za mtoto?
   
 2. M

  Moony JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  '' caucus''
   
 3. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  No cocus ,maaana ni kampuni hao...
   
 4. M

  Moony JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  oh, ok
   
Loading...