Bolivian officials get spy pens in anti-corruption effort
Bolivian custom officers will have to carry special pens, with a hidden micro-camera and voice recorder, as part of a government...
Ndugu wajumbe,
Katika hali ya kutekeleza maelekezo ya raisi wetu (sikivu) Dr. JK ya wabunge kuisimamia vyema serikali sikivu!, baadhi ya wabunge wa CCM wameapa kutoipitisha bajeti yetu "ya...
Wakuu heshima mbele,naomba kujua zaidi hizo zama mbili katika jamii yetu,miaka ile ya 70 na 80 kila mtu ambae haeleweki vizuri na jamii au biashara zake zinakusa sana na hazieleweki aliogopwa sana...
Binafsi Dr.Pombe huwa namkubali ktk utendaji wake. lakini kwa hili la daraja la Mbutu sincerely sitomkubali. jana katika kumnadi Dr.kafumuka Dr. Pombe alisema katika budget ya 2011/2012 wizara...
Nashauri si busara kabisa kubeza hizi juhudi za magamba za kurudisha imani ya watu mbalimbali nchini kwao. Leo Mafinga Nape amekutana na waalimu zaidi ya 360 na amekuwa na amzungumzo nao kwa muda...
Source : mwananchi.co.tz
MMOJA AJITOLEA KUFUKUZWA, WATAKA IUNDWE TUME KUICHUNGUZA HAZINA
Neville Meena na Mussa Juma, Dodoma
KAMATI ya wabunge wa CCM jana ilikutana kwa zaidi ya saa tano...
Bajeti ya serikali iliyosomwa na waziri wa fedha inaonesha kuwa baada ya ya serikali kuongeza mishahara(kwa wafanyakazi wake wa serikali)imerevenge kwa kuongeza kodi ya mishahara hii inamaana kuwa...
Kwa yeyote ambaye anaufahamu wa mambo ya bajeti/uchumi naomba kuuliza.
Kwa mujibu wa bajeti yetu ya mwaka huu (na miaka iliyopita zinafanana), tunatumia 70% kufanaya maendeleo ya 30%(kwa mkopo)...
Katika mkutano wa hadhara wa nape juzi Mufindi wananchi wameonyesha kutoridhishwa na uwezo wa nape wa kujenga hoja kama wapinzani wanavyofanya.
Wananchi wamehoji kwanini habari za Nape...
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na...
Mchakato unaoendelea sasa wa kutoa maoni ya nini kiwemo ndani ya Katiba Mpya ufanywe kwa kuzingatia uwiano wa walioko mijini na vijijini, na pia uhusishe jamii ambayo kwanza inaifahamu Katiba ni...
CDM watakuwa na mkutano wa hadhara mkoani Iringa eneo la Kihesa sokoni,mida ya saa tisa alasiri!Viongozi kadhaa wa CHADEMA watakuwepo.Mengi zaidi nitawajuza muda utakapo fika.
Shivji asisitiza umakini uwekezaji wa ardhi
Saturday, 16 June 2012 08:53
MWENYEKITI wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Profesa Issa Shivji...
Naombeni kufahamishwa mwenye kujua sababu za ubadilishwaji wa rangi ya bendera ya chadema zaidi ya mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa nyeupe na nyeusi,ya pili ikawa ya light bluu na nyeusi na ya...
KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza wazi kuwa kila mtu ana haki ya kuishi mahali popote pale anapotaka ili mradi havunji sheria, haki ambayo ombaomba maarufu hapa nchini, mzee...
Naombeni kufahamishwa mwenye kujua sababu za ubadilishwaji wa rangi ya bendera ya chadema zaidi ya mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa nyeupe na nyeusi,ya pili ikawa ya light bluu na nyeusi na ya...
Watanzania tunapenda sana kulalamika na kulaani bila kuchukua hatua.Hatuna courage na audacity ya kwenda step moja mbele na ku act badala ya kulalamika tu miaka nenda miaka nenda rudi. Ukimya na...
Namuona hapa Mwigulu na Lipumba wakiidadavua budget ya 2012/2013,..kwa kuanzia huyu mwana ccm anaitetea kwa nguvu zake zote...anasema baadhi ya wataalam wa uchumi wanaipotosha....ngoja tusubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.